Tenda wema uende zako

kwa msimamo huu mario lazima waishe kwa njaa!
 
Pole sana mdada, kila binadamu hua na style yake yakutoa stress zake,siwezi kuongelea sana sababau huyo ni mpenzi wako,ila mimi ilinikuta kwa mume wangu namsomesha kwa hela yangu lakini mara kuna siku hataki kwenda shule ukimwambia mumewangu nenda bado kidogo tuu utamaliza weeeeee ataongea oooh sababu hela unatoa wewe usinisimange ntapata zangu maneno tele mpaka amemaliza tukaanza biashara nimechukua mkopo nikampa,ukiuliza umefikia wapi kosa ooooh kwa sababau umechukua wewe hela basi ntazirudisha nimevumilia mpaka sasa Alhamdulillah,na msamaha kaniomba kua mke wangu ile ilikua stress tuu,sasa huyo ni mwanamme na kama hana malengo na wewe bora umalizane nae kwa amani na hata akipata hiyo hela yake kua muungwana akikupa mwambie asante we songa mbele..
 
Asante sana rafiki sifikirii kabisa hiyo ela yake napigana kivyangu, mara ya mwisho kapewa mshahara wake mwezi huu tarehe 01 imekwisha tarehe 10 mwezi huu kweli laki 2 iishe ndani ya siku 10 namwachia Mungu
 
Pole mdada.. Pata somo hapo mwanaume hapewi hela..pole sana
Kama ingekuwa wewe ndo umefukuzwa kazi pia haruhusiwi kukupa pesa? Au kwa sababu wewe mwanamke ndo una haki ya kupewa?
 
Ukitaka kumjua mkeo vzuri bas filisika
[emoji124]
 
Hahaha
 
Miss Chagga katika ubora wake wa kupenda ngawira. Bi dada anapenda pesa kuliko hata pochi inavyopenda pesa.

 
Kuna wanawake wenye vipaji maalumu hakyamama!!!
Hiyo hela mtumie hata mamako akupe baraka ndugu!!!

Unamhudumia ni Kaka yako huyo, tena hata shukrani hana????
 
Pole aisee
true love happens once in a life time,kama haoni dhamani yako leo ataiona siku akiwa mbali na wewe
nimekuelewa vizuri.

huyu dada asitishe afanye yake Mungu atamsaidia ba yeye atapata mtu atae ishi nae vzur asie na malalamiko na vinyongi vya ajabuajabu.
 
nimekuelewa vizuri.

huyu dada asitishe afanye yake Mungu atamsaidia ba yeye atapata mtu atae ishi nae vzur asie na malalamiko na vinyongi vya ajabuajabu.
Respect
 
Tena ulioptliza c aende kwa wazaz wake wew ndo una kaz ya kumlisha hapo ajakuoa akikuoa akacmamishwa kaz utaomba poo
 
Huyo si wa kuendela kua nae!!! Mwache aende
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…