Tenda wema uende zako

[emoji3] [emoji3] mkuu hakuna mwenye haki na hela za watu.. Ila wapenzi waliodekezwa km Wa mtoa mada ndio kwa ujinga wao wanahisi wana haki na hela za watu kwamba wao halali yao wapewe tu na zikipungua kiwango walichozoeshwa inakuwa ugomvi.
Kila kitu kikifanyika kwa kiasi mambo yote huwa shwari
 
Dah, Shem, mbona huyo jamaa si mwelewa kabisa? duh, amepata mke mzuri hivyo analeta shida tena? Yeye anafikiri ela unatoa wapi? majukumu ya kiume hayo, na kama hana kazi anavunga tu na kuwa mpole!!!!! Huyo kuwa mme, duh, sijui Dada!!!
Yani ni mtu wa kulalamika nikiwasaidia ndugu zangu apendi na akiona namtumia ela dada, au ndugu yoyote huwa apendi huu si roho mbaya
 
Mmmmmmh Mchaga na Shekeli bhna daaaaaah noumer saana
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumpa mwanaume hela sio shida, ukizingatia kaachishwa kazi!

Tatizo kubwa hapa na ambalo linastahili kukemewa ni hii tabia ya huyu jamaa kutoshukuru/kuridhika kwa kile anachofanyiwa!


Ukisema hiyo hela aweke kibubu sio rahisi kuwa ataweza kuiweka kweli! Sio kila mtu ana uwezo wa kuweka kibubu, wengine huvivunja tu baada ya siku chache
 
duh sawa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…