bahati godfrey
Member
- Feb 7, 2017
- 11
- 26
Mimi ni jinsia ya KikeHuyo dem wako lazima atakua chadema ndo wanapenda slope
Ni mapenzi tumblock mpotezee.. kwanza kwa nini unampa mwanaume hela ? kwaa nini atii?
acha ujinga iyo pesa save unajua hiyo 5000 unayoompa kila siku ungekuwa unaweka kwenye kibubu ungekuwa na sh ngapi?
5000*365=1,825,000tsh .. na in usd 700usd na zaidi wewe acha ujinga wewe utakufa msikini..
halafu siku anaenda kukutia unatoa pesa wewe ya gesti, chakula, vinywaji na nauli.. uwii zaidiya ukichaa huu
huu ni ujingaNi mapenzi tu
Pole aiseeMimi ni jinsia ya Kike
haya dada mpenzi ni maneno yako au kuna mtu kakuandikia....!!???mblock mpotezee.. kwanza kwa nini unampa mwanaume hela ? kwaa nini atii?
acha ujinga iyo pesa save unajua hiyo 5000 unayoompa kila siku ungekuwa unaweka kwenye kibubu ungekuwa na sh ngapi?
5000*365=1,825,000tsh .. na in usd 700usd na zaidi wewe acha ujinga wewe utakufa msikini..
halafu siku anaenda kukutia unatoa pesa wewe ya gesti, chakula, vinywaji na nauli.. uwii zaidiya ukichaa huu
Mimi naona ujinga ni matokeo ya huyo mwanaume lakini dada alikua yupo sahihi.huu ni ujinga
Mkuu Sio ujinga na niseme tu ninnjia ya kuonyesha upendo lakini Mara nyingi bozo hela zinatumika ndivyo sivyo..ahhhhh siku zingerudi nyuma nisingefanya ule ujinga[emoji15] mwanaume akizoea kupewa hela anaonea sana..anajiona nae ana haki na hela za watu... Again pole sana mtoa mada..ila usirudie tens maisha yako yoteMimi naona ujinga ni matokeo ya huyo mwanaume lakini dada alikua yupo sahihi.
Unataka kuniambia mwanamke kumpa mpenzi wake hela ni ujinga?
Kwani ni nani mwenye haki na hela za watu?Mkuu Sio ujinga na niseme tu ninnjia ya kuonyesha upendo lakini Mara nyingi bozo hela zinatumika ndivyo sivyo..ahhhhh siku zingerudi nyuma nisingefanya ule ujinga[emoji15] mwanaume akizoea kupewa hela anaonea sana..anajiona nae ana haki na hela za watu... Again pole sana mtoa mada..ila usirudie tens maisha yako yote
Toka mpenzi wangu asimamishwe kazi ni mtu mwenye mawazo ila huwa namfariji, tatizo linakuja ninampomsaidia huwa nampa elfu 5 kama mahitaji kwa siku sasa jana nilimpa 1500 aende kula chakula cha jioni kwa mama ntilie toka jana analalamika ela gani ninayompa nilijisikia vibaya mno mana mi mwenyewe silipwi mshahara nabahatisha huko kazini akaanza kunitukana kuwa atakapoliwa mafao yake tusijuane tena kila mtu afanye yake nikamwambia poa.
hakika sisi binadamu sijui tumeumbwaje nimeamua tu nifanye maisha yangu sina jinsi
[emoji3] [emoji3] mkuu hakuna mwenye haki na hela za watu.. Ila wapenzi waliodekezwa km Wa mtoa mada ndio kwa ujinga wao wanahisi wana haki na hela za watu kwamba wao halali yao wapewe tu na zikipungua kiwango walichozoeshwa inakuwa ugomvi.Kwani ni nani mwenye haki na hela za watu?
ndio mkuuMimi naona ujinga ni matokeo ya huyo mwanaume lakini dada alikua yupo sahihi.
Unataka kuniambia mwanamke kumpa mpenzi wake hela ni ujinga?