Tenda wema nenda zako

Tenda wema nenda zako

nditolo

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
3,802
Reaction score
4,451
Hongera sana waanxilishi wa jamii forum.

Huwa najisikia Raha nikiona humu ndani magufuri anatukanwa.
Huwezi amini tuna viongozi watatu wameyangulia mbele za haki.

Nyerere, mkapa na magufuri
Anaye pondwa na kutukanwa sana ni magufuri tu. Hebu fikiria hii wanamwita alikuwa kiazi kibichi.

Yaani alikuwa kiazi Tena kibichi.

Mwehu, kichaa, mpumbafu yaani Kila aina ya tusi.

Inaonekana alikuwa na dhambi sana. Nadhani anaendelea kuungua kwenye makaa ya mawe.

Nafurahi sana
 
Aliuwa watu wengi sana. Hata waliompiga risasi tundu lissu hawajakamatwa mpaka leo.

Aliyofanya haya yanamuhukumu. Tulikuwa na rais kiazi kibichi. Rais mwehu
1650103199826.jpg
 
Hongera sana waanxilishi wa jamii forum.

Huwa najisikia Raha nikiona humu ndani magufuri anatukanwa.
Huwezi amini tuna viongozi watatu wameyangulia mbele za haki.

Nyerere, mkapa na magufuri
Anaye pondwa na kutukanwa sana ni magufuri tu. Hebu fikiria hii wanamwita alikuwa kiazi kibichi.

Yaani alikuwa kiazi Tena kibichi.

Mwehu, kichaa, mpumbafu yaani Kila aina ya tusi.

Inaonekana alikuwa na dhambi sana. Nadhani anaendelea kuungua kwenye makaa ya mawe.

Nafurahi sana
Kila ubaya utalipwa
 
Una matatizo ya kisaikolojia.
 
Huwezi mpangia Mungu hukumu.
Mungu hawazi wala kutenda kama sisi wanadamu,unaweza kutukana sana kumbe Mwenzenu yupo Mbinguni nyie huku mishipa inawatoka.
 
Upuuzi huo?subiri na wwe ufe
 
Huwezi mpangia Mungu hukumu.
Mungu hawazi wala kutenda kama sisi wanadamu,unaweza kutukana sana kumbe Mwenzenu yupo Mbinguni nyie huku mishipa inawatoka.
Mtu wa kwenda mbinguni awe magu? Basi mungu asingehukumu sodoma na Gomorra.

Yule sijui alitokea wapi mpaka akafika ikulu akaanza kuuwa watu na kufunga tu bila sababu.

Limekufa tumefurahi sana.
 
Ukichezea na kutukana ufalme lazima unyooshwe,hayajaanza leo hayo tangu enzi za manabii 😆

Utalimia meno 😁
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom