M Mr bons JF-Expert Member Joined Jun 28, 2018 Posts 1,345 Reaction score 1,526 Oct 31, 2022 #1 Nawakimbusha sana katika maisha yako panda mbegu ya upendo maana hujui kesho yako. Usije jifanya Mungu mtu kwa leo halafu kesho yako ikiwa mbaya ukashindwa hata pa kukimbilia. tusijisahau sana.
Nawakimbusha sana katika maisha yako panda mbegu ya upendo maana hujui kesho yako. Usije jifanya Mungu mtu kwa leo halafu kesho yako ikiwa mbaya ukashindwa hata pa kukimbilia. tusijisahau sana.
Ulweso JF-Expert Member Joined May 24, 2016 Posts 23,106 Reaction score 28,062 Oct 31, 2022 #2 Kwa dunia hii ya leo fanya tu yalio mazuri na kamwe usitegemee kuja kupata mema kwa mtu, tenda mema kwasababu Mungu ni Upendo basi!
Kwa dunia hii ya leo fanya tu yalio mazuri na kamwe usitegemee kuja kupata mema kwa mtu, tenda mema kwasababu Mungu ni Upendo basi!
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,420 Reaction score 92,254 Nov 1, 2022 #3 Simama kwa miguu yako mwenyewe mkuu....hakuna atakaekuelewa