asanteelimu2016
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 248
- 146
Habari za jioni
Tafadhali ndugu wa jamii forum naomba kufahamu kama kuna publisher yeyote ambaye yupo humu jamii na atapata nafasi ya kusoma thread hii anitafute kwa namba 0654846084
Mimi ni muandishi wa vitabu nahitaji kuchapa kitabu kimoja lakini kwa kuanza na vichache (copy 200) naomba mwenye kufanya hayo tutafutane ili tuweze kusaidiana
Sent using Jamii Forums mobile app