Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Sasa na mie mzee mtoto atakuwaje sijuiKama ww utakavyozaa namie![]()
![]()
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Afadhali babe kumbe tutabalance vizuriAtamfuata hendisamu baba yake
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Haha babe mimi sura ya mjomba Hii akichukua kwangu usije ukakataa mtotoHahaaaaa ila akifuata kwako itakua poa zaidi na uzuri huo ulionao
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
kama nimekukubali wewe naanzaje kataa mtoto ambae nimemuhangaikia kiunoni masaa mawiliHaha babe mimi sura ya mjomba Hii akichukua kwangu usije ukakataa mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa masaa mawili? Umeambiwa unamuumba wewe huyo mtoto?kama nimekukubali wewe naanzaje kataa mtoto ambae nimemuhangaikia kiunoni masaa mawili
Umetaja kiepe yai mate yamenidondoka daahanhaaaa ushazoe perfomance ya vijana wa kiepe yai pilipili pembeni
Haha nguna mwenyewe nakula babe na hutanipa tabu ya kupika mwendo wa ugali asubuhi, mchana na jionidaah mwnamke wa dar ww utanipa tabu sana mm nishazoea nguna na mazao toka lake tanganyika
uanjua nguna ya muhogo wew uwe mgumuu hadi ukwarue koo... nakuuliza utakubali utaridhika na hali??Haha nguna mwenyewe nakula babe na hutanipa tabu ya kupika mwendo wa ugali asubuhi, mchana na jioni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi aliyekwambia nguna mnakula kwenu huko tu ni nani? Mimi pia nimekulia nguna babeuanjua nguna ya muhogo wew uwe mgumuu hadi ukwarue koo... nakuuliza utakubali utaridhika na hali??
Babe... haya sauti yangu imekua ya kukwaluza kabisa ajili ya kura uagariiHivi aliyekwambia nguna mnakula kwenu huko tu ni nani? Mimi pia nimekulia nguna babe
Sent using Jamii Forums mobile app
Babe kwani mimi naolewa na wewe au na sauti? Kwanza mwanaume unataka sauti nyororo ya nini unataka kuanzisha bendi?Babe... haya sauti yangu imekua ya kukwaluza kabisa ajili ya kura uagarii
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Sent usingSi mnapenda sauti ka za wasanii wa alikiba eti ndio za mahaba btu the way kila mtu na fantasy yake.. labda nawe fantasy yako ni lisauyi yanguBabe kwani mimi naolewa na wewe au na sauti? Kwanza mwanaume unataka sauti nyororo ya nini unataka kuanzisha bendi?