Nitaenda mimi ndo nije nikufunzeNitakufunza mwenyewe chumbani
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Kwani bebe nikikufundisha kungfu uanaume wako unatoka?Nani mwaume nyumbani sasa
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Kwani kuna ubaya gani mimi nikikulinda babyKwanini nisikufujze mm.. wee ndio unanilinda su mm ndo natakiwa nikulinde
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Basi sawa babeJukumu kako ni kulinda watoto wetu ila jukumu langu ni kukulinda ww na watoto
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
![]()
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Apo ni ivi Jamaa katoa shukrani kwa Google kwa ku Spell jina la Anord Swasniger [emoji23][emoji23]
Mbona mitandao huwa inaleta suggestion hapo usikute aliandika osas tu kitu kikajibuApo ni ivi Jamaa katoa shukrani kwa Google kwa ku Spell jina la Anord Swasniger [emoji23][emoji23]
Ila uyo jamaa kwenye comment ka quote jina la mshikaji wake pila msaada wa google, alafu ni ngum zaid ya ilo la Anord
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]10yearschallenge View attachment 998522View attachment 998525View attachment 998526
Sent using Jamii Forums mobile app
Inahitajika thinking power kuielewa hii, sawa mkuu naona limebaki tobo tuuNawachora tuu