Zinawashinda wengi hizi ticha......But ukiamua kuzifanyia kazi, nina hakika yawezekana.
LISTEN without interrupting.
ANSWER without arguing.
Mimi hizi mbili akaah,hata unishawishi, napenda sana ku argue na ukini bore tuu kwenye maongezi sina muda wa kukuacha ili uendelee kuni bore.hapo hapo nina interrupt fasta ukate maongezi yako au ubadilishe mada.
yaani hapa niache tuu manake aina ya mtu niliye naye bila kuwa kinyume na hizi namba maisha yatasimama ghafla.
Bujibuji haufai kabisa! Umefanya nicheke ghafla na kwa sauti utadhani chizi!
Sasa tufanyeje ndugu yangu mbona tatizo la moyo linazidi kuwa kubwa? Lol!
Mwita Maranya ni lazima aachie ngazi ndipo niweze kupona mwaJ wangu.
Job true true, najihisi kabisa roho ikiziavhia nyama zangu kwa uchungu wa nkulikosa penzi lako tamu mwaJ wa mtima wangeHa ha ha haaaaa! Mwita Maranya hawezi kuachia ngazi maana alitoa ng'ombe wengi sana na kaka zangu hawawezi kumrudishia maana walishawatumia kwa kulipia mahari wakati wanaoa.
Na bado Bujibuji, iko siku mapigo yatadundia tumboni.:smile-big::smile-big::smile-big:mwaJ bado. Leo mapigo ya moyo yanapiga kiunoni
Bujibuji haufai kabisa! Umefanya nicheke ghafla na kwa sauti utadhani chizi!
Sasa tufanyeje ndugu yangu mbona tatizo la moyo linazidi kuwa kubwa? Lol!
Mwita Maranya ni lazima aachie ngazi ndipo niweze kupona mwaJ wangu.
Ha ha ha haaaaa! Mwita Maranya hawezi kuachia ngazi maana alitoa ng'ombe wengi sana na kaka zangu hawawezi kumrudishia maana walishawatumia kwa kulipia mahari wakati wanaoa.
Job true true, najihisi kabisa roho ikiziavhia nyama zangu kwa uchungu wa nkulikosa penzi lako tamu mwaJ wa mtima wange