Mambo Jambo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 1,100
- 83
Mkuu Kilimo Kwanza kinaingiajeingiaje hapo - kwa fedha za EPA?
Mhh"Simple men discuss people, while great men discuss ideas"
Mkuu Kilimo Kwanza kinaingiajeingiaje hapo - kwa fedha za EPA?
You are a simple man, because you are discussing great men who discuss ideas here."Simple men discuss people, while great men discuss ideas"
Kwani hujui Pesa ya EPA imepelekwa kilimo kwanza, na JEET PATEL ndiye ameshinda tender ya kuagiza matrekta nchi nzima kwa kutumia pesa ile ile ya EPA iliyorudishwa!!!!!!!! eheheheheh kalaga baho!!
Watu hamna adabu na nchi yenu sio?Ten most powerful people in tanzania,
maana hata capital hawaweki Tanzania.Watu hamna adabu na nchi yenu sio?
"Simple men discuss people, while great men discuss ideas"
There are the people who run the city and the people who run the people who run the city. Hao ulio wataja mkuu ndiyo tunao waona ila nina uhakika kuna watu behind the doors ambao wanaweza kuwa na nguvu zaidi ya hao sema hawaonekani. You might be surprised.
Hapana mkuu usiupotoshe uma wa JF, tenda aliyopewa Jeetu kwa ajili ya ununuzi wa matrekta ya kilimo kwanza ni msaada uliotolewa na serikali ya India $50mil na siyo hela ya EPA.
Naona watu huwa wanasahau nani ni powerful in TZ. Wapo watu bwana iingawa hawavumiNa Chande na Apson mmewaacha wapi?
"Simple men discuss people, while great men discuss ideas"
The Boss! kwa vigezo gani labda mwenzetu ulivyotumia??Watanzania kumi ambao mi nafikiri ndio most powerful
ni hawa. 1.jakaya kikwete
2.salma kikwete
3.rostam aziz
4.edward lowassa
5.mizengo pinda
6.yusuph makamba
7.mohamed shein
8.samuel sitta
9.anna kilango
10.bernad membe.
Ingawa kikatiba na sheria dk shein alipaswa kuwa second most
powerful lakini kwa kuwa power inakuwa influenced na mambo
mengi ikiwemo urafiki na ukaribu wa mtu kwa mwenye nguvu zaidi,,,,naona nafasi yake ni no saba.
Samuel sitta kikatiba yeye ni wa tatu but mahusiano yake na hao wengine yamempunguza nguvu,ndio maana akasulubiwa na nec ya ccm.
Makamba ana nguvu ya position yake ya kichama na ukaribu wake kwa jk,
lowassa na rostam still very powerfull,,,
they are untouchables regardless kagoda na richmond..
Na hata teuzi za jk bado wanazi influence.
Je unafikiri nani anastahili kuwemo???nani hastahili??
Yupi unafikiri ana nguvu zaidi kuliko rank yake niliompa???au yupi hana nguvu hizo??????
Watanzania...
3.rostam aziz
...
Watanzania kumi ambao mi nafikiri ndio most powerful