Darasa fupi kuhusu lugha ya Hebrew:
Jina Hebrew (Ivrit) ni jina au lugha ya zamani kuliko zote "World's oldest languages.
Jina hilio linatoka kwa Eber, Mtoto wa kivulana wa Shem;
Shem anaitwa baba wa watoto wote wa Eber (Gen 10:21); and therefore Hebrew descendants are called Semites.
In the Scriptures, Hebrew is used as an adjective to describe Jews who are "from other side" (ikiwa inamaanisha upande wa, of the Euphrates River), Modern Hebrew is called Ivrit.
In Genesis 31:47, Laban and Jacob refer a heap of stones in their native speech. Laban uses phrase "Yegar Sahaduta" which is Aramaic, lakini Jacob anatumia "Gal-Ed" ambayo ni Hebrew.
Wana wa Irasel walipo kuwa utumwani Misri, walitumia lugha ya Ketav Ivri until the Exodus from Egypt. Ambayo ilitumika mpaka mwisho wa Century ya 6 BC, ndipo Ketav Ivri walii replace na the Hebrew square script (Ketav Meruba ambayo inajulikana kama Ketav Ashuri)
Kumbuka kwamba, Ketav Ivri ilitumika wakati wa kipindi cha the First Temple na kama symbol of nationalistic revival in the Second Temple Period.
Hivyo basi, Jews wali adopt the Aramaic alphabet (Wakiwa chini ya uongozi wa Ezra the Scribe), Wasamaritans wao wali held to the original forms of proto-Hebrew, inasemekana ni kwasababu ya kuonyesha wao kama true heirs of Judaism. Kwasababu hiyo basi, Ezra aliamua kuchaguwa Aramaic square script (Called Ketav Ashuri amabayo inajulikana kwa jina lingine kama Ketav Meruba)
Baada ya Babyloniana captivity, Ketav Ashurit was adopted by the Jews (chini ya uongozi wa Ezra the Scribe) na kuiita lugha takatifu au Leshon HaKodesh. Kama nilivyo sema mwanzo, hii ilifanywa ili kujitenga kutoka kwa Samaritanism.
Hivyo basi, Aramaic characters were chosen as the official script for the Torah scrolls in the 5th Century BC (Ushaidi ni ule ulipatikana katika "the Dead Sea Scrolls (DSS) were written during a transitional period where both the older Ketav Ivri script is used with Ketav Ashurit.
Natagemea umenielewa kuhusu utumizi wa lugha ya Ketav Ivri na Ketav Ashurit.
Mwisho:
Modern Hebrew ambayo inatumika leo hii Israel ili derives from Polish-German Jews.
Note: Ladino (Judeo-Spanish) and Yiddish (Judeo-German) both evolved during the middle ages and use Hebrew characters for transliteration ONLY. Ladino uses a Rashi-style script wakati Yiddish wanatumia standard square script.
Kwa wanaosoma lugha ya Ki Hebrania, wameigawanya katika sehemu nne (4).
1. Biblical Hebrew aka Classical Hebrew. By the time of Jesus, Aramaic was the common language, but Hebrew was used in synagogues and in temple worship. Jesus knew and spoke Biblical Hebrew.
2. Mishnaic Hebrew aka Rabbinic Hebrew; Talmud and Midrash ambayo ilitumika kuanzia 2nd Century AD.
3. Medieval Hebrew _ Hii ilitumika kutafsiri Arabic works into Hebrew. Mfano Maimonides and other medievalists.
4. Modern Hebrew- 19th Century to present.
Kingunge darwin unaweza kuleta maswali kuhusu lugha tu. Tukimaliza lugha, tunaingia swali namba 2.