TAADHARI.
Kitabu cha wageni /Mapokezi cha Ofisi ya TRA Temeke kimeibiwa. Wezi hao wanawapigia simu wateja kwa kuwatapeli kuwa nyaraka zao zipo tayari ikiwemo leseni mbali mbali kuwa nyaraka zao zipo tayari wanatakiwa watume pesa sh 50,000. Kwenye namba za hao wezi ili wapate nyaraka zao. USIKUBALI KUTAPELIWA. Source RADIO ONE STEREO.
27TH JAN 2019.
0600.
Jr[emoji769]