Mimi sio mkazi wa Temeke ila kutokana na shughuli zangu kuna wakati nashinda sana eneo hilo.katika utafiti wangu usio rasim nimegundua vijana wengi wa eneo hilo wanajihusisha na uzaji wa madawa ya kulevya(unga).
Mbaya zaidi vijana wengi wemeshaathirika na matumizi yake.wamechoka sana na kudhoofika miili.eneo ambalo linaoongoza kuwa na suppliers wengi ni mtaa wa wailes.naomba niongee jambo moja hapa hata kama litawakera wengine.
Ni hivi wauza unga wengi wa eneo hilo ni vijana wa kipemba,zaramo na wandengereko (wazawa) hata watumiaji pia. Asilimia kubwa ni vijana wa jamii hizo hizo.
Sijapata jibu kwanini inakuwa hivyo.serikali ipo wapi!!?
Wadau vijana wenzetu wanaangamia Temeke mtaa Wailes.
Kwanini hakuna omba omba? Wengi kipato ni cha chini? Kijichi,yale mabangaloo mbona yana tishia masaki na kinondoni? Au sehemu ndogo tu ya wakazi wake ndio wako vizuri?
kwa waliotembelea U.S.A,kuna mji unaitwa brooklyn.sasa hii ni kama brooklyn ya bongo.Temeke ni sehemu ya kawaida ila kwa dar es salaam nzima hakuna sehemu balaa kama manzese huu ni mji hatari kuliko yote dar.....naufananisha kama baghadad
Kwanini hakuna omba omba? Wengi kipato ni cha chini? Kijichi,yale mabangaloo mbona yana tishia masaki na kinondoni? Au sehemu ndogo tu ya wakazi wake ndio wako vizuri?
umasikini na shule ndogo ndo main reason
Temeke ndo wilaya pekee dar ambako hakuna ombaomba..
go figure.....
vijana wa kabila la warangi imewaharibu sana hiyo kitu.mmoja aliniambia kuna siku alishindwa kumtimizia haja GF wake kisa abdla kichwa wazi wake alipo lala alilala 1 kwa 1.hiyo ni sehem ndogo 2 ya madhara ya ku2mia gomba(mirungi/miraa.....)handasi babkubwa ipo kwenye gomba tu mtu asikudanganye sio pombe wala huo unga
Mimi sio mkazi wa Temeke ila kutokana na shughuli zangu kuna wakati nashinda sana eneo hilo.katika utafiti wangu usio rasim nimegundua vijana wengi wa eneo hilo wanajihusisha na uzaji wa madawa ya kulevya(unga).
Mbaya zaidi vijana wengi wemeshaathirika na matumizi yake.wamechoka sana na kudhoofika miili.eneo ambalo linaoongoza kuwa na suppliers wengi ni mtaa wa wailes.naomba niongee jambo moja hapa hata kama litawakera wengine.
Ni hivi wauza unga wengi wa eneo hilo ni vijana wa kipemba,zaramo na wandengereko (wazawa) hata watumiaji pia. Asilimia kubwa ni vijana wa jamii hizo hizo.
Sijapata jibu kwanini inakuwa hivyo.serikali ipo wapi!!?
Wadau vijana wenzetu wanaangamia Temeke mtaa Wailes.
Pamoja na mazoezi yote hayo Temeke bado inaongoza kwa vitendo vya uhalifu, achilia bangi, dawa za kulevya hata vibaka ndio kwenyewe huko. Labda mazingira yake nayaweza kuwa source ya tabia zao.
kwa wazungu wakubwa wanaotuma vijana kwenda kubeba mzigo wanapatikana ilala hasa magomeni.ila mapusha wengi wanapatikana temeke hasa mtaa wa wailes.Nafikiri wewe huijui Dar kabisa, labda umehamia Dar ulipokuja kusoma ukanogewa na kusahau kwenu "SITIMBI" kwa mwenyekujua Dar huwezi kusema Temeke inaongoza kwa madawa ya kulevya kuliko Ilala na Kinondoni, fanya utafiti utaona