Tembocard Visa na Tembocard Mastercard!!

Tembocard Visa na Tembocard Mastercard!!

Nimeshabadilisha ndio maana nakwambia. Kuna wakati unapewa option ya kubadilisha password, na wakati mwingine huioni option hiyo. Nadhani inategemea ATM machine unayotumia.

Password kwenye bankcard? Au mnamaanisha 'personal identification number' (PIN)?
 
Back
Top Bottom