Tembo hazikwi na meno yake: wanachadema wanaojiunga CCM mnakaribishwa kwa mikono miwili

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,725
Reaction score
31,305
Kwa kuwa chadema inakufa, haimaanishi hata watu wazuri waliokuwa huko wafe nayo. Tunawakaribisha CCM muendelee kujenga nchi.

Tembo akifa, meno yake yanatolewa, yeye anaachwa aendelee kuoza. Meno ya tembo ni mali
 
mchukueni na lissu kwa mtazamo wa pembe za tembo
 
Kwa kuwa chadema inakufa, haimaanishi hata watu wazuri waliokuwa huko wafe nayo. Tunawakaribisha CCM muendelee kujenga nchi.

Tembo akifa, meno yake yanatolewa, yeye anaachwa aendelee kuoza. Meno ya tembo ni mali
Nyie mkawachukue Graduate wa Concern College ndio wanawafaa CCM

Mtu mwenye akili zake hawezi kuwa CCM
 
Kwa kuwa chadema inakufa, haimaanishi hata watu wazuri waliokuwa huko wafe nayo. Tunawakaribisha CCM muendelee kujenga nchi.

Tembo akifa, meno yake yanatolewa, yeye anaachwa aendelee kuoza. Meno ya tembo ni mali
Ifike mahali muache ujinga huu
 
Yule ni wa kupeleka mirembe

Wagonjwa wahifadhiwe….
yule ni kiboko yenu, anawanyima usingizi mkaona mumfunge ili muendelee kufanya abrakadabra zenu kwa wananchi mnaowaita kenge. Mmemekosa hekima na busara
 
Kwa kuwa chadema inakufa, haimaanishi hata watu wazuri waliokuwa huko wafe nayo. Tunawakaribisha CCM muendelee kujenga nchi.

Tembo akifa, meno yake yanatolewa, yeye anaachwa aendelee kuoza. Meno ya tembo ni mali
Ni swala la muda to huu msemo utafutata ukweli..Mpina,Gwajima kalibuni chama la umma CDM
 
yule ni kiboko yenu, anawanyima usingizi mkaona mumfunge ili muendelee kufanya abrakadabra zenu kwa wananchi mnaowaita kenge. Mmemekosa hekima na busara
Ni kawaida hata wewe ukiwa na Ndugu kichaa huwezi kulala

Maana hujui nezt love atafanya nini

Anaweza kukata watu mapanga… Pna alivyoimaliza chakandumuz Kwa somo lake na kiburi chake

He had the best opportunity yq revival yq chadema mpya, lakini kiburi ba ujivuni vimemfanya aue chama
 
yule ndiye mpinzani wa kweli, lazima mumuogope kulinda maslahi yenu
 
Back
Top Bottom