Mimi nafikiri kwa mtu anaye jua kimalkia ujumbe unaeleweka
Wasiwasi wangu tu ni kuwa;
- Mwisho wa kutumia chumba ni 03h00 (saa tisa usiku) ina maana baada ya hapo mtu anakwenda wapi kumalizia usingizi au hii ni guest house maalumu kwa wenyeji (katerero village)...anarudi kumalizia usingizi nyumbani?????
- Na hilo suala la usafi amekuwa specific sana...ni dalili ya unyanyasaji kwa hawa wenzetu??
- By the way, nimependa hizo instruction za kuwasha na kuzima heater ya bafuni