Tembea Uone, Inafaa sana Master Bedroom

Tembea Uone, Inafaa sana Master Bedroom

Halafu mbona kama wazungu ndani ya hicho Choo, mtu katoka kupiga puli kaacha wazungu wakieleaelea.
 
Na kutiana magenye yasiyotarajiwa!!!!
Duuh! Sijakuelewa mkuu, ukiguswa 0713....unapatwa na genye!!
Magu,.. Twende zetu DODOMA, Dar (Sodoma) moto wa kiberiti unakaribia kuunguza.
 
Kama kinachamba kwa pressure kubwa hivyo ina maana inabidi mtu asaule nguo zote.
Wewe sasa unataka kubadilisha akili za watu waanze kubana miguu au kuingiza mikono mfukoni..... Maumivu ya kichwa huanza pole pole..... Kuna watu washasema hapa usianzishe genye.... Na wapo wanakusikia.
 
Washoga wataongezeka......Japan kimepigwa marufuku
 
Dot dot dot dot...... hahahahahaa that was my first thread as Kasinde.. .. moja ya holiday za Kasie ndo nikakutana na vyoo vya jinsia hiyo.
 
Dot dot dot dot...... hahahahahaa that was my first thread as Kasinde.. .. moja ya holiday as Kasie ndo nikakutana na vyoo vya jinsia hiyo.
Nimejikuta vuupu nipo humu eti haha pole
 
View attachment 130655

Tembea uone katika pitapita zangu huko duniani nimekutana na choo hiki, msema ukweli mpenz wa Mungu, sijawahi kuona choo cha namna hii ni mara yangu ya kwanza. Yaani choo kina kibomba kwa nyuma katikati ukimaliza shuhuli yako unafungulia maji yanaruka kwa speed hadi kwenye papuchi au 0713 kukunawisha huhitaji kupeleka mkono wako huko. Pressure ya maji inaondoa ukoko wote.
Hiki kitafaa sana master bedroom, karibuni tushangae wote, kama ulishawahi kukiona basi close thread ufungue ingine ambao hamkuwahi kukiona kama mie endeleeni kushangaa na mkiagizie muweke majumbani yenu.
Vingine ambavyo huwa navi admire ni vyoo vya automatic flash.
Vizuri kwa kina mama viko sana nchi ambazo Moslems ni majority ya population,
Kasie hujambo mpenzi?
 
Vizuri kwa kina mama viko sana nchi ambazo Moslems ni majority ya population,
Kasie hujambo mpenzi?

Oooh na huko nilikokikuta ilikuwa moja ya nchi as kiislamu.

Moe sijambo, ila mapenzi ya Kiraka na Kasie yameanza lini.... kutokea wapi na kuelekea wapi....
 
Oooh na huko nilikokikuta ilikuwa moja ya nchi as kiislamu.

Moe sijambo, ila mapenzi ya Kiraka na Kasie yameanza lini.... kutokea wapi na kuelekea wapi....

Yako miaka nenda rudi mioyoni mwetu, sasa yamejaa yameamua kujitokeza tu...

Yaani hata mimi sijielewi... twende taratibu tujajua.
 
Yako miaka nenda rudi mioyoni mwetu, sasa yamejaa yameamua kujitokeza tu...

Yaani hata mimi sijielewi... twende taratibu tujajua.

Heheheheheheheheee polee (nikisema umedandia treni kwa mbele sikudhihaki au kukutukana) namaanisha umekosea na umepotea... you need to be a literature to know and read Kasies mind.... very few have that capacity. Bila kumtaja anasomeka tuu jinsi anavyoswing na Kasie.. .. hadi raha.
 
View attachment 130655

Tembea uone katika pitapita zangu huko duniani nimekutana na choo hiki, msema ukweli mpenz wa Mungu, sijawahi kuona choo cha namna hii ni mara yangu ya kwanza. Yaani choo kina kibomba kwa nyuma katikati ukimaliza shuhuli yako unafungulia maji yanaruka kwa speed hadi kwenye papuchi au 0713 kukunawisha huhitaji kupeleka mkono wako huko. Pressure ya maji inaondoa ukoko wote.
Hiki kitafaa sana master bedroom, karibuni tushangae wote, kama ulishawahi kukiona basi close thread ufungue ingine ambao hamkuwahi kukiona kama mie endeleeni kushangaa na mkiagizie muweke majumbani yenu.
Vingine ambavyo huwa navi admire ni vyoo vya automatic flash.
Hata kariakoo nilikipata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom