Tembea Uone, Inafaa sana Master Bedroom

Tembea Uone, Inafaa sana Master Bedroom

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,801
Reaction score
43,177
IMG_00001698_2.jpg

Tembea uone katika pitapita zangu huko duniani nimekutana na choo hiki, msema ukweli mpenz wa Mungu, sijawahi kuona choo cha namna hii ni mara yangu ya kwanza. Yaani choo kina kibomba kwa nyuma katikati ukimaliza shuhuli yako unafungulia maji yanaruka kwa speed hadi kwenye papuchi au 0713 kukunawisha huhitaji kupeleka mkono wako huko. Pressure ya maji inaondoa ukoko wote.
Hiki kitafaa sana master bedroom, karibuni tushangae wote, kama ulishawahi kukiona basi close thread ufungue ingine ambao hamkuwahi kukiona kama mie endeleeni kushangaa na mkiagizie muweke majumbani yenu.
Vingine ambavyo huwa navi admire ni vyoo vya automatic flash.
 
Mmh mkuu hii sidhani kama ni substitute ya utumiaji kiganja. Imesaidia tu kusogeza maji karibu lakini pia kama unasema pressure ya maji ni kali naona ugumu wa matumizi ya mkono, hivyo inaweza kuleta inconvenience zaidi. Anyway, ulitumia tujuze zaidi
 
View attachment 130655

Aiseeee....!!! Hiyo speed ya hayo maji haisababishi maji yakaingia ndani kabisa kunako papuchi au 0713??
 
Ulikuwa gesti house au nyumbani kwa..........?
 
Don't try it Home aisee....Usishangae watu wakaanza kubadili tabia. Mara maji ya kuweka kwenye tank la hiko choo yanapashwa moto.
Mwisho wa siku mke na mume wanakuwa kaka na dada ama dada na dada
 
Kama kinachamba kwa pressure kubwa hivyo ina maana inabidi mtu asaule nguo zote.
 
Sasa wabongo kwa kuvamia, utashangaa kipo kwa hiteli au vyuoni, maji yenyewe shida watu kuambukizana maradhi tu
 
Mmh mkuu hii sidhani kama ni substitute ya utumiaji kiganja. Imesaidia tu kusogeza maji karibu lakini pia kama unasema pressure ya maji ni kali naona ugumu wa matumizi ya mkono, hivyo inaweza kuleta inconvenience zaidi. Anyway, ulitumia tujuze zaidi
mi sikuitumia bana niliogopa mambo ya kizungu haya, nilikuwa na kichupa changu cha maji pembeni heheheee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom