Tembea na hisia zako

Bazazi

JF-Expert Member
Aug 18, 2008
2,806
3,476
Uhusiano wa mapenzi ni aina ya mohawapo ya magonjwa ya akili. Unapoingia msombweni hakikisha unatembea na hisia zako.

Siku moja nilikutana na sms ya betterhalf akimlalamikia mchepuko wake kuwa asiwe na hasira, apokee simu yake kwani ana hamu ya kusikia sauti yake. Ugomvu kuntu uliibuka maana nalimminya hasa (sio kumpiga bali kumminya kwa maana halisi ya kumminya) na ktk mchakato, mfupa mkubwa wa mkononi ukatengeneza ufa. Ugomvi ulikuwa usiku.

Mchana wa keshoye, akakaa mbali kidogo akiwa na simu akiwasiliana na mchepuko. Hisia zikasema "angalia anawasiliana na nani". Hisia zilipuuzwa. Usiku akawa amechukua nguo zake na kuaga kuwa amepata chumba anaenda kupanga; nikazuia licha ya hisia kushauri aachiwe akapange!

Upuuzi wa kupuuza hisia watesa hadi leo licha ya kuwa ni miaka 3 sasa. Tafadhalini sana HISIA ZISIKIZWE!


Bazazi!
 
I feel the same pains nimemwacha aende meseji ananitumia eti taken mapenzi hatar sana ila nami mungu kanijaalia kupata kazi na pesa now namuomba mungu sana ila sijapenda mwaka wa pili mpaka sasa

Nasema wacha waoane 😁😁😁
 
tatizo mnajifanya mnapendaa sanaaaaaaaaaaa ohooo baby, ohoooo siwez ishi bila weee

Maninaa... Kwa Madem wapi???

Saizi ni ngumu mnoooo kukuta Demu ana Jamaa mmoja

Kwa sababu kimahesabu, wanawake ni wengi kuliko wanaume.

Watakuja Hapa kunipinga , ila Narudia, ni ngumu mnoooo kwasasa, Dunia isiyo na maadili hii, et mwanamke akuambie " Baby uko pekeako"

Hivo ukishalijua hilo... "Just Ishi naoo"...

Ukiwa naye, Chapaaaa Mbususu mpaka itoke vumbi...

Usipokua naye, fanya mambo yako, achana na mambo ya kutaka kujua anafanya nn. Yuko wapi

Zingatia::: Mwandishi wa Komenti hii. Ni kijana mdogo mwenye mke ( sio wa ndoa) na watoto wawili. kijana huyu hajawahi kupenda kindaki ndaki.

Nahata wakikwaruzana na Mwanamke wake huwa anamwambia moja kwa moja " Ohooo tunaachana tu, nalea wanangu, navuta mwanamke mwengine, wanawake walivyojaa ivi???".
 
Jaman hisia ni kitu kingine kabisa...tena kinakujaga Automatic From Nowhere....

Mm kama mwanamke unaponitongoza nakuwa sina upendo na ww lakini tukiishaingia kwenye mahusiano inategemea na mwanaume atakavyokuwa najikuta nazama kabisa bila kujua.

Swali langu....Unawezaje kuuzuia Moyo kumpenda utu.?? Hebu tujuzane.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom