Temba aibiwa vifaa vya gari yake aina ya Verros

Temba aibiwa vifaa vya gari yake aina ya Verros

Gomesa

Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
23
Reaction score
1
mwanamuziki wa kizazi kipya Amani Temba ‘Mh Temba’ amesema amerudishwa nyuma sana baada ya kuibiwa vifaa vya gari lake aina ya Verros na mikatamba mbalimbali ya kazi na vitu vingine vilivyokuwemo kwenye gari hilo.

Akizungumza na mwandishi wa safu hii, alivitaja alisema baadhi ya vifaa walivyoiba ni Power Windor zote, Camera, Dashboard, Cd, mawani na document zingine za kazi zake ikiwemo mikataba ya kazi.
Alisema gari hilo alililaza maeneo ya nyumbani kwake Mbagara.... soma zaidi
 
Ndio mana mimi nikipata kibaka sehem naua...
 
aiseeeeee babayangu hawa wasanii wa bongo hawana akili si wote lakini mikataba wanaweka kwenye magari huu ni ujinga sijawai kuona ndio maana hawaendelei
 
Kamwe usipaki gari nyumbani kama huna mlinzi wa uakika. Hawa wapumbavu lazima watakuvisit siku moja kuja kukuibia.
 
Kamwe usipaki gari nyumbani kama huna mlinzi wa uhakika. Hawa wapumbavu lazima watakuvisit siku moja kuja kukuibia.
 
aiseeeeee babayangu hawa wasanii wa bongo hawana akili si wote lakini mikataba wanaweka kwenye magari huu ni ujinga sijawai kuona ndio maana hawaendelei

Wasikuumize kichw mkuu hawa jamaa wapumbav sana!
 
Back
Top Bottom