Muoga wa mademu, nimekubuhu kwenye nyetoTuambie wewe udhaifu wako ni upi?
Kumbe?Akili inaibwa kumbe
Kumbe?Walikuibiaga siku moja?
Aiseeunaweza ukashangaa umeniua bila kutarajia.
Nimesema nilivyo mimi sio wewe, kuna kipindi nilikua mkoa X milimani kuna baridi Wazee wa kule wanavuta Tumbaku balaa aisee mimi na moshi wa Tumbaku ni km umenisogeza kwenye mlango wa Kifo ukiniweka dakika 10 nyingi kwenye ule moshi unaweza ukanikuta nimekufaAisee
Napenda familia, ila sio ndoaNdio udhaifu wako