hii mada ilishajadiliwa mwaka 2008
i have to say, napenda hii pia! But D & G light blue comes first!
You mean oxygen au?Lanvin!
Mchungaji natumia hii Ambre Topkapi....
Imetulia sana
Mchungaji nimeipenda perfume yako naomba nitumie na mie mwanakondoo wako by DHL
Ya kiume hiyo baby!
anataka ampe marioo wake.
I like :A S-rose:
Miss Dior & Lady Million
Ya kiume hiyo baby!
Naweza kununulia bila masharti yeyote?
hehehehe nataka ya kwako Mchungaji
haina shida kabisa Rev Masa hapa nilipo napulizia ya kiume ..inategemea na harufu tu imenivutia namna gani:biggrin1: