Tell me about Russia.

Tell me about Russia.

[QUOTkikavaria, post: 18946586, member: 295384"]Huwezi nichosha mkuu.
Kila mwaka napenda kutenga muda wangu kujifunza kitu kuhusu nchi fulani.
Na 2017 ni zamu ya Russia.
Kwahiyo wewe andika chochote kuhusu Russia, ntasoma na kuzidi kujifunza.
Kama kila mwaka unatenga muda wa kujifunza nchi moja moja sijui mpaka sasa ushajifunza nchi ngapi, au kama ndo unaanza haya mafunzo mema maana mpaka uimalize dunia nzima kazi ipo[/QUOTE]
Sina mpango wa kumaliza dunia nzima.
Najifunza zile nchi ambazo utamaduni wao hauingiliani moja kwa moja na nchi nyingine.
Zaidi ya hayo kuna nchi nazipenda tu ila kuzifahamu kwa undani si rahisi.
Ni nchi chache nimeamua kuzifahamu.
Ikiwezekana siku moja niende kutembea..
 
Sio kama mnavyoaminishwa.
Ni kama ushawahi kuambiwa kuwa tanga kuna uchawi ukikanyaga gunzi linakuongelesha.
Ila ukifika tanga hakuna kitu kama hicho.
Ubaguzi upo ila sio kwa extent ya mtu kushindwa kuishi.
Nikitaka kukifahamu kirusi inachukua muda gani?
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Kama kila mwaka unatenga muda wa kujifunza nchi moja moja sijui mpaka sasa ushajifunza nchi ngapi, au kama ndo unaanza haya mafunzo mema maana mpaka uimalize dunia nzima kazi ipo
Sina mpango wa kumaliza dunia nzima.
Najifunza zile nchi ambazo utamaduni wao hauingiliani moja kwa moja na nchi nyingine.
Zaidi ya hayo kuna nchi nazipenda tu ila kuzifahamu kwa undani si rahisi.
Ni nchi chache nimeamua kuzifahamu.
Ikiwezekana siku moja niende kutembea..[/QUOTE]
That will be a sweetest of you ro accomplish your dream. Go ahead buddy
 
Sina mpango wa kumaliza dunia nzima.
Najifunza zile nchi ambazo utamaduni wao hauingiliani moja kwa moja na nchi nyingine.
Zaidi ya hayo kuna nchi nazipenda tu ila kuzifahamu kwa undani si rahisi.
Ni nchi chache nimeamua kuzifahamu.
Ikiwezekana siku moja niende kutembea..
That will be a sweetest of you ro accomplish your dream. Go ahead buddy[/QUOTE]
Thanks bro.
 
Miaka nane na nusu.
Nimeishi Russia -moscow na caucus ( ni jimbo la russi lina vurugu kama kosovo) huko watu wanamjua 2 pac kwa sababu ni mwislamu na wao ni waislamu.
Mtu mweusi wakikuona wanataka uimbe mistari ya 2 pac.
Pia kazakhstan nimeishi nchi za ussr zilimeguka, nikaenda hadi ukrain na poland. Pia uzbekstan na abhazia yale majimbo aliyoyachukua Putin kutoka Georgia.
Ila moscow ndio nimekaa sana.
Baridi lake linafika hadi minus 39
Daragoi hata mimi niliishi pale Kazakhstan,
 
Russia ni nchi kubwa sana na ina majimbo mengi ambayo yanatofautiana masaa na hata tamaduni zake zinatofautiana japo wote ni warusi na wanaongea kirusi.

Kuna majimbo kama caucus kusini mwa Ru huko kuna watu watata sanaa ni waislamu na baadhi yao ni magaidi kama unakumbuka wale madogo waliolipua Boston marathon kama unazo kumbu kumbu wanatoka huko Caucus.

Wanaongea lugha yao ya kiu caucas na warusi wanatamka (kafkaz).
Hawa jamaa wanataka sana kujitenga ila Putin hataki kabisa wakitenge.
Kwa sababu anaogopa influence ya usa na mataifa ya europe kwa nchi zinazomzunguka.

......
Aisee ndugu yangu bora uulize swali moja moja manake naweza kukuandikia kitabu hapa nikakuchosha bure
Andika kuhusu Putin au yale madude ambayo US anayaogopa, yale madude ya kupaa angani.
 
Miaka nane na nusu.
Nimeishi Russia -moscow na caucus ( ni jimbo la russi lina vurugu kama kosovo) huko watu wanamjua 2 pac kwa sababu ni mwislamu na wao ni waislamu.
Mtu mweusi wakikuona wanataka uimbe mistari ya 2 pac.
Pia kazakhstan nimeishi nchi za ussr zilimeguka, nikaenda hadi ukrain na poland. Pia uzbekstan na abhazia yale majimbo aliyoyachukua Putin kutoka Georgia.
Ila moscow ndio nimekaa sana.
Baridi lake linafika hadi minus 39

Vipi ulikuwa unapiga vodka???? tehtehtehte nauliza tu kama joke...
 
England Spain France Italy kila cku wachezaji weusi wanarushiwa ndizi muulize balotteli
Nchi zingine za Europe kuna uafadhari kuliko Russia...Timu nyingine za Europe wapo waafrika kibao kwenye national teams for example France 90% ya wachezaji wao ni black vipi Russia...hatari tupu...
 
Sio joke.
Nilikuwa nakunywa sanaa

Tehtehtehte...nilidhani pengine ni wale ambao huwa hawanywi au hawapati kilevi...na baridi ile ni lazima upige vodka, kwani ukipiga bia unaweza ukapiga crate mbili na usijione kama umelewa au usisikie chochote....
 
Ni nchi nzuri sana especially the Women, lots of memories . Tafuta muda uitembelee maana comments zitakuchosha.
 
Back
Top Bottom