Tell me about Russia.

Tell me about Russia.

Mi nimesika kuwa kwa jinsi huko Russia watu wanavyokunywa sana vodka
hadi kunywa beer na kuendesha gari kulikuwa ni legal kisheria hadi miaka michache iliyopita
ndo wameanza kuona beer ni pombe..
wao beer ilikuwa kama soda tu...
Ni kweli, nadhani bia imeanza kutambulika kama kilevi mwaka 2008. Hata matangazo ya bia kwenye TV zamani, yalikuwa yanaonyesha mara zingine mtu akiburudika na bia wakati wa lunch break akiwa job au familia nzima including Baba, Mama na watoto wakipata Piva(Bia).
Bei ya bia ni rahisi kuliko mkate na wana brands nyingi nzuri za bia ambazo ukiamua kufanya samplinf, unaweza kushindwa uichague ipi iwe favourite.
 
Tena sana
Ni afadhali KKK mara 1000 kuliko hao skin heads wa pale Mosow na St Petersburg
Jamaa wakiona mtu mweusi wanakuchinja on the spot
Hapana Mkuu. Mimi nimeishi Saint Petersburg na Moscow, matukio ya ubaguzi yapo ila ni nadra sana ni mpaka uingie maeneo yasiyofaa au utembee mida mibovu kwa treni za chini ya ardhi ndipo utakutana na mambo kama hayo. Ni kama mzungu apite manzese peke yake usiku wa saa nane.
 
Tehtehtehte...nilidhani pengine ni wale ambao huwa hawanywi au hawapati kilevi...na baridi ile ni lazima upige vodka, kwani ukipiga bia unaweza ukapiga crate mbili na usijione kama umelewa au usisikie chochote....
Kule kama hunywi utapata shida sana.
 
Miaka nane na nusu.
Nimeishi Russia -moscow na caucus ( ni jimbo la russi lina vurugu kama kosovo) huko watu wanamjua 2 pac kwa sababu ni mwislamu na wao ni waislamu.
Mtu mweusi wakikuona wanataka uimbe mistari ya 2 pac.
Pia kazakhstan nimeishi nchi za ussr zilimeguka, nikaenda hadi ukrain na poland. Pia uzbekstan na abhazia yale majimbo aliyoyachukua Putin kutoka Georgia.
Ila moscow ndio nimekaa sana.
Baridi lake linafika hadi minus 39

Dobrraeotra
 
kila pahali pana uzuri na ubaya wake,ila uzuri ea Russia haufanani na kwingine,naamini wanawake wazuri kuliko wote kwa race ya wazungu ni Russian,hata ndai ya USA demu wakijua anatoka urusi wanahamasika haswaa!!

skinhead kweli wapo ila ni wahuni tu kama wahuni wengine,wanaamini russia ni for russians,ila nao wengi wanatembea na kuanza kujifunza universal life and interaction.

Ni nchi pekee ambayo mwanamke anathaminiwakwa kiwango cha juu utamaduni wake, na ukiwa na mwanamke wa kirusi matembezini basi hatawabaguzi hawatokufanya kitu tofauti na ukawa alone,mfano club japo wanachukia.

to some extent wanawake wa kirusi dream yao kubwa kutembea na chorni ie black guy,kwanza wanaamini ana nguvu za kutosha,ana hogo matata na tunapiga kazi,unaweza ukawabadili tu jma viatu!!

Baridi kule ndio mwisho wa matatizo,winter baridi kufika negative 40 ni kawaida tu ila kuna mji unaitwa Sibiri,huko hadi negative 70.

Warusi halisi hujiita maskovich,mostly wana blond hair,hawapatani na warusi wa pembeni ie kafkaz,na kafkaz wanawapenda sana blacks na haswa ukiwa muislamu ie dagestan,chechniya etc.

Ni kawaida tu kuongea na profesa halafu hajui english.

Russia naamini ni nchi pekee ambayo iko well advanced and planned kwenyepublic transport. Kila baada ya dakika 5 treni ya umeme ie metro inasimaa kituoni,USAunaweza kaa nusu saa hadi lisaa lizima treni haijafika!!
 
Muongo
 
Asante.
Miaka ya nyuma kuna nyakati nilisoma sehemu wanasema wanawake wa kirusi wanaua sana waafrika. Ni kweli?
 
Afadhari huko Europe kuna uafadhari kuliko Asia especially Russia...Timu Za Europe waafrika kibao kwenye national teams for example France 90% ya wachezaji wao ni black vipi Asia...hatari tupu...
Kuliko Asia especially Russia!!????

Mkuu rudi tena skonga ukairekebishe Geography yako kwavile haiko poa,Russia haipo Asia
 
Hapana Mkuu. Mimi nimeishi Saint Petersburg na Moscow, matukio ya ubaguzi yapo ila ni nadra sana ni mpaka uingie maeneo yasiyofaa au utembee mida mibovu kwa treni za chini ya ardhi ndipo utakutana na mambo kama hayo. Ni kama mzungu apite manzese peke yake usiku wa saa nane.
Ukipata nafasi ni pm maana nimeishi St. Petersburg Chornaya Rechka
 
kila pahali pana uzuri na ubaya wake,ila uzuri ea Russia haufanani na kwingine,naamini wanawake wazuri kuliko wote kwa race ya wazungu ni Russian,hata ndai ya USA demu wakijua anatoka urusi wanahamasika haswaa!!

skinhead kweli wapo ila ni wahuni tu kama wahuni wengine,wanaamini russia ni for russians,ila nao wengi wanatembea na kuanza kujifunza universal life and interaction.

Ni nchi pekee ambayo mwanamke anathaminiwakwa kiwango cha juu utamaduni wake, na ukiwa na mwanamke wa kirusi matembezini basi hatawabaguzi hawatokufanya kitu tofauti na ukawa alone,mfano club japo wanachukia.

to some extent wanawake wa kirusi dream yao kubwa kutembea na chorni ie black guy,kwanza wanaamini ana nguvu za kutosha,ana hogo matata na tunapiga kazi,unaweza ukawabadili tu jma viatu!!

Baridi kule ndio mwisho wa matatizo,winter baridi kufika negative 40 ni kawaida tu ila kuna mji unaitwa Sibiri,huko hadi negative 70.

Warusi halisi hujiita maskovich,mostly wana blond hair,hawapatani na warusi wa pembeni ie kafkaz,na kafkaz wanawapenda sana blacks na haswa ukiwa muislamu ie dagestan,chechniya etc.

Ni kawaida tu kuongea na profesa halafu hajui english.

Russia naamini ni nchi pekee ambayo iko well advanced and planned kwenyepublic transport. Kila baada ya dakika 5 treni ya umeme ie metro inasimaa kituoni,USAunaweza kaa nusu saa hadi lisaa lizima treni haijafika!!
Usa wanatumia zaidi private transport,
Una facts nyingi ambazo hazipo correct haswa linapokuja swala la comparison kati ya sehemu uliowahi kufika ww tu na sehemu ambayo dhahiri inathibitisha hujawahi kufika,upo so wrong

Wht do u know about being a communist country?Russia is the one and u are telling me Russians are the most happiest people wht a joke!

Eti kwamba russia ndio mwanamke anathaminiwa kuliko sehemu nyingine yeyote duniani,tembea uone mkuu huijui dunia hili umethibitisha

Get ur facts correct wanawake wazuri ktk vigezo vipi lbd?
 
Asante.
Miaka ya nyuma kuna nyakati nilisoma sehemu wanasema wanawake wa kirusi wanaua sana waafrika. Ni kweli?
Si kweli,myth hiyo sijawahi iona wala isikia,ninachojua ndio wanawapenda sana waafrika,ni nadra sana wanawake kuwa na chuki nablacks,japo wachache sana,tena sana ndiohawawapendi blacks.

BALTIKA aina ya bia inayouzwa kopo shs 3000/ na kufanya ionekane ya wenye hela kiasi,ndio bia ya bei rahisi kabisa urusi,ipo hadi chupa ya litre5.

Bia urusi nirahisi sana kuliko baadhi ya maji ya kunywa ya dukani,mtu anakunywa kokote hata public areas na hakamatwi, ili mradi usinywe ukiwa kwenye kituo cha kazi.
 
Back
Top Bottom