Teleportation, telekinesis na telepath

Lupamba's grandson

JF-Expert Member
Jan 9, 2015
1,232
1,196
Telepromter au kipsychic zaidi inaitwa teleportation Ni ile hali ya kupotea nakutokea sehemu nyingine either kupitia ukutani au popote.

Telekinesis ni ule uwezo wa kusogeza object kutoka sehemu moja kwenda nyingne kwa kutumia mind.Au kumsoma mtu matukio yake na kumbukumbu zake.

Kuna telepath ni uwezo wa kutuma ujumbe bila kuzungumza unatumia mind kutuma message pasi na kuzungumza.Kumsoma mtu kuna aina kama tatu mbili unaweza soma kwa kutumia palm ile sayansi inaitwa palmstry. Psychometry hii ni ule uwezo wa kugain informartion za mtu hasa pale utakapo mgusa.
 
Malizia sasa, ili uweze kutenda hayo mambo unatakiwa ufanyeje!?
 
Back
Top Bottom