Kibumbula
JF-Expert Member
- Mar 26, 2018
- 3,690
- 3,382
Ni kwamba Telegram sio popular tu, ila kiuharisia Telegram kamzidi WhatsApp kila idaraWakuu kwaninii whatsap iwe inatumiwa sana hali ya kuwa huwezi kuitumia moja kwa moja kwenye pc mpaka uwe an application nyingine au uwe na simu ya whatsap uscan code?
tofauti na telegram ambao unaweza itumia moja kwa moja kwenye pc na simu pia lakin watumiaji weng utasikia kila siku magroup ya whatsap, na hata utasikia watu weka namba nikutumie whatsap na ngumu mtu kusema nikuumie telegram.
natamani whatsap wengetengenza pia desktop ap kama telegram isiyohitaji immulators na sio hii ya kuscan code...
kama ipo nifahamishwe
sawa mkuu.... lakini si lazima uanze kutoka kutojulikana ndo watu wakufahamu baadaeKwenye Marketing jina pia linachangia watu kukutambua haraka na kukuweka vivywani mwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu lakini uchaguzi wa jina unawezafanya wa nyuma yako akakuacha ulipo.sawa mkuu.... lakini si lazima uanze kutoka kutojulikana ndo watu wakufahamu baadae
kweli mkuu!!! wasap wanatutesa sana mpaka uwe na android imulators au uscan qr code... wakati telegram unateleza tu kwa pc bila shida sema ndo unakuwa pekeyako kati ya kundi linalokuzunguka.... thus unakosa vitu ving coz watu hushare zaid wasapSawa mkuu lakini uchaguzi wa jina unawezafanya wa nyuma yako akakuacha ulipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mifano zaidi.natumia telegram kwenye pc yang niliyoitoa kwent app store na sijaona hiyo search feature ambayo ukiandika inaleta kila kitu... ukisearch kwenye telegram inaleta vitu ulivyojiunga navyo basii!!! ambavyo havipo huwez kuviona
Ni kwamba watu wengi ni wavivu ku-adapt new technology hasa kwa hizi chi za Africa lakini kwa wenzetu walioendelea ni tofauti, mfano USA, watu wana Snapchat ambayo ni maarufu kuliko WhatsApp, China wana WeChat na Weibo, na hawana habari na WhatsApp, WhatsApp vs Telegram is just the same thing is applicable to Facebook vs Google+ scenario, binafsi mimi huwa naamini kuwa Google+ is far more better than Facebook, na nimekuwa mstari wa mbele kushawishi watu kutumia Google+ lakini hakuna hata mwamko na sitashangaa siku moja Google+ kufungwa.sawasawa mkuu!!!!!
inamaana alichelewa kuingia sokoni au ndo kujitangaza ni vigumu san???
Ahsante mkuu! UmenifumbuaNilishaeleza kwenye thread zilizopita nitaeleza tena hapa,
Whatsapp mpaka unaiona leo imekuwa kutokana na mistakes za messengers zilizopita kama vile Nimbuzz, mig33, BBM etc.
Yenyewe imetengeneza mahala salama ambapo watu wanaweza kuchat bila kubugudhiwa na watu usiowafahamu. Whatsapp ni salama kwa mtoto, kijana, mama,babu etc.
Telegram ni tofauti ndani ya sekunde kadhaa tu naweza pata video yoyote ya ngono ninayoitaka, si salama kwa watoto au familia,ni sehemu huru ambayo mtu yoyote anaweza akafanya chochote, hivyo inakuwa ni unique kwa watu fulani tu na sio app ambayo kila mtu anaweza akaitumia.
Unajiungaje hiyo telegram? Inapatkana playstore?kama unavyoweza kuzipata kwenye telegram ni sawa tu na whatsap.... urushiwe au ujiunge kwa link za magroup hayo
Download play store, ukishadownload maelekezo yake ya kujiunga in simple tuUnajiungaje hiyo telegram? Inapatkana playstore?
umeandika elimu kubwa sanaaaa!!!!! shukran sana mkuuuNi kwamba watu wengi ni wavivu ku-adapt new technology hasa kwa hizi chi za Africa lakini kwa wenzetu walioendelea ni tofauti, mfano USA, watu wana Snapchat ambayo ni maarufu kuliko WhatsApp, China wana WeChat na Weibo, na hawana habari na WhatsApp, WhatsApp vs Telegram is just the same thing is applicable to Facebook vs Google+ scenario, binafsi mimi huwa naamini kuwa Google+ is far more better than Facebook, na nimekuwa mstari wa mbele kushawishi watu kutumia Google+ lakini hakuna hata mwamko na sitashangaa siku moja Google+ kufungwa.
Kitu kingine kikubwa kinachofanya Telegram kuwa nyuma ya WhatsApp ni kuwa Telegram started out as a WhatsApp clone, but soon grew an identity and only few people noted that while the rest of them stuck with the mentality that Telegram is WhatsApp clone
Yote kwa yote tunakuja kufanya summary kwa kutumia "The rule of business" yaani "Either be first or be different", Gordon Miller anakwambia kabisa, "I will never invest in you if you are the next Facebook, Google or Twitter no matter how promising your ideas"
daaahaa!!!!! aiseee somthing new and pocibly version ninayotumia wameondoa hiyo featureKwa mifano zaidi.
Nimeingia zangu telegram naclick alama ya search, leo nataka nione wanawake wanatingisha makalio nasearch pale juu keyword twerking
View attachment 989227
Nachagua hio yenye subscribers wengi, naingia,naona video toka chanell imeanzishwa mpaka leo, video ambazo hazina filter
View attachment 989230
Hapo nimetumia keyword nyepesi, na umeona uchafu uliokuja. Imenichukua chini ya dakika kupata huo uchafu, je unataka hio app iwe mainstream kama whatsapp? Watoto baba mama mjomba waitumie pamoja?
Samahani kama hizo picha zitawabugudhi watu.
Naomba na wewe ufanye same procedure kwenye whatsapp ulete