Capt Price
Senior Member
- Dec 14, 2013
- 123
- 94
Sasa hiyo inahusiana nini na mambo ya Telegram,angalieni na sehemu za kuweka matangazo yenu. Au si mlipie kabisa hapa jf mpewe air time ya tangazo.
#WANAWAKELIVETZ tumeandaa program ya Kufundisha ujasiriamali, DARASA hili la UJASIRIAMALI litatolewa bure kabisa, mtaweza kujifunza
DARASA hilo litatolewa na walimu wenye ujuzi wa kutengeneza bidhaa zenye ubora wa hali ya juu. WOTE MNAKARIBISHA SANA.
- Ufugaji, kilimo na biashara.
- Utengenezaji wa sabuni ya mche.
- Utengenezaji wa sabuni ya maji ya kuogea, kufulia na chooni
- UTENGENEZAJI WA BATIKI
DARASA ilo litafanyika Dar-es-salaam Tegeta, Nyuki {ukitokea sehemu yoyote ya Dar-es-salaam panda magari yanayoenda Tegeta, Nyuki kisha shuka mwisho wa gari. Harafu utapiga simu 0783137777 ili upewe maelekezo ya kufika.
KWA MAWASILIANO PIGA 0783137777
so utaona bado kawazidi akiri developer wa WhatsApp... Telegram kwa mawazo yangu ndio nafikiri ni social network bora zaidi duniani... But matapeli kule ndio sehemu yao usipokua makini...