Telegram wamefeli wapi?

Telegram wamefeli wapi?

Tanzania vitu huwenda kwa bendera fuata upepo ..........

Telegram kiukweli iko juu ya whastapp kiubora na kiufanisi.....

Imagine me ninatumiana movies za file za hadi GB 2 kwa kutumia telegram, jambo ambalo whatsapp hawana .......

Ni swala la muda tu hii app itakuja kuwa popular sana Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
sawasawa
 
Nilishaeleza kwenye thread zilizopita nitaeleza tena hapa,

Whatsapp mpaka unaiona leo imekuwa kutokana na mistakes za messengers zilizopita kama vile Nimbuzz, mig33, BBM etc.

Yenyewe imetengeneza mahala salama ambapo watu wanaweza kuchat bila kubugudhiwa na watu usiowafahamu. Whatsapp ni salama kwa mtoto, kijana, mama,babu etc.

Telegram ni tofauti ndani ya sekunde kadhaa tu naweza pata video yoyote ya ngono ninayoitaka, si salama kwa watoto au familia,ni sehemu huru ambayo mtu yoyote anaweza akafanya chochote, hivyo inakuwa ni unique kwa watu fulani tu na sio app ambayo kila mtu anaweza akaitumia.
sijajua usalama upi ambao haupo mkuu... maana hata whatsap video chafu ukiztaka unapata why iwe rahisi kwa telegram?
 
Wakuu kwaninii whatsap iwe inatumiwa sana hali ya kuwa huwezi kuitumia moja kwa moja kwenye pc mpaka uwe an application nyingine au uwe na simu ya whatsap uscan code?

tofauti na telegram ambao unaweza itumia moja kwa moja kwenye pc na simu pia lakin watumiaji weng utasikia kila siku magroup ya whatsap, na hata utasikia watu weka namba nikutumie whatsap na ngumu mtu kusema nikuumie telegram.

natamani whatsap wengetengenza pia desktop ap kama telegram isiyohitaji immulators na sio hii ya kuscan code...

kama ipo nifahamishwe
App ya whatsapp for pc mbona ipo kitambo. ni watu tu wavivu wa ku download

Sent using Jamii Forums mobile app
 
telegram iko powa sana , haiba limitatiton ya kushare ukubwa wa file, group la telegram unaeza ads mpqka 10000 participatnts,
nina channels 6 za telegram 3 za music albums, 2 za animations latest, 1 ya movies latest,.

Kichekesho sasa phonebook ina namba zaidi ya mia ila anaetumia telegram m1 tuu dah
 
kama unavyoweza kuzipata kwenye telegram ni sawa tu na whatsap.... urushiwe au ujiunge kwa link za magroup hayo
Kwenye telegram hujiungi popote kuna search feature unaandika unachokitaka.

Na ilitolewa app store sababu ya child pornograph

Hakuna feature kama hio whatsapp
 
Kweli bhn telegram wako vizuri kushinda hata whatsapp kwa vitu vingi saana
Mafaili ukubwa na ubora
Makundi ku accomodate watu wengi
Na mambo kadha wa kadha

Sent from my iPhone using JamiiForums
Uko sahihi kabisa mkuu.

Telegram ni App nzuri sana
 
Natumia telegram tangu 2013

Wapo vzur kuliko whatsap

Ila walichelewa kuingia sokoni na pia sio American Brand.

Hapa dunian kampuni za US tu ,ndo zinazo enjoy easy penetration to the global market.

Nyingine zinastruggle,ila kama Telegram ingekuwa ni zao na silicon valley leo ungekuta ipo juu au hata imenunuliwa na major tech

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye telegram hujiungi popote kuna search feature unaandika unachokitaka.

Na ilitolewa app store sababu ya child pornograph

Hakuna feature kama hio whatsapp
natumia telegram kwenye pc yang niliyoitoa kwent app store na sijaona hiyo search feature ambayo ukiandika inaleta kila kitu... ukisearch kwenye telegram inaleta vitu ulivyojiunga navyo basii!!! ambavyo havipo huwez kuviona
 
telegram iko powa sana , haiba limitatiton ya kushare ukubwa wa file, group la telegram unaeza ads mpqka 10000 participatnts,
nina channels 6 za telegram 3 za music albums, 2 za animations latest, 1 ya movies latest,.

Kichekesho sasa phonebook ina namba zaidi ya mia ila anaetumia telegram m1 tuu dah
kweli bro!!!!! ukiongeza na wewe mwenyewe ni wawili kati ya hao mia!!!!
 
Natumia telegram tangu 2013

Wapo vzur kuliko whatsap

Ila walichelewa kuingia sokoni na pia sio American Brand.

Hapa dunian kampuni za US tu ,ndo zinazo enjoy easy penetration to the global market.

Nyingine zinastruggle,ila kama Telegram ingekuwa ni zao na silicon valley leo ungekuta ipo juu au hata imenunuliwa na major tech

Sent using Jamii Forums mobile app
sawsawa mkuu
 
Back
Top Bottom