Telegram wamefeli wapi?

Telegram wamefeli wapi?

Kichaka12

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2018
Posts
317
Reaction score
285
Wakuu kwaninii whatsap iwe inatumiwa sana hali ya kuwa huwezi kuitumia moja kwa moja kwenye pc mpaka uwe an application nyingine au uwe na simu ya whatsap uscan code?

tofauti na telegram ambao unaweza itumia moja kwa moja kwenye pc na simu pia lakin watumiaji weng utasikia kila siku magroup ya whatsap, na hata utasikia watu weka namba nikutumie whatsap na ngumu mtu kusema nikuumie telegram.

natamani whatsap wengetengenza pia desktop ap kama telegram isiyohitaji immulators na sio hii ya kuscan code...

kama ipo nifahamishwe
 
Kweli bhn telegram wako vizuri kushinda hata whatsapp kwa vitu vingi saana
Mafaili ukubwa na ubora
Makundi ku accomodate watu wengi
Na mambo kadha wa kadha

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kweli bhn telegram wako vizuri kushinda hata whatsapp kwa vitu vingi saana
Mafaili ukubwa na ubora
Makundi ku accomodate watu wengi
Na mambo kadha wa kadha

Sent from my iPhone using JamiiForums
but haina watumiaji wengi kama ilivyo whatsap..... wamekwama wapi hawa telegram???
 
siku whatsapp wakiruhusu ipatikane kwenye desktop bila emulator wala simu kuscan qr codes basi watakuwa wamepoteza maana nzima ya whatsapp. Its like instagram's official features zinapatikana kwenye simu pekee kama kusoma messages. So kuifanya app ya simu pekee kupatikana kwenye desktop pia kuna uwezekano mkubwa wa kupata FEW INSTALLERS au watu wasidownload kabisa upande wa playstore/appstore maana kitu kinapatikana kwenye pc so kuna haja gani nihangaike na simu? au vice versa. Alafu watu wanahofia sana usalama wa data zao
 
siku whatsapp wakirihusu ipatikane kwenye desktop bila emulator wala simu kuscan qr codes basi watakuwa wamepoteza maana nzima ya whatsapp. Its like instagram's official features zinapatikana kwenye simu pekee kama kusoma messages. So kuifanya app ya simu pekee kupatikana kwenye desktop pia kuna uwezekano mkubwa wa kupata FEW INSTALLERS au watu wasidownload kabisa upande wa playstore/appstore maana kitu kinapatikana kwenye pc so kuna haja gani nihangaike na simu? au vice versa.
sawa sawa mkuu.... ina maana hii ndio ina wafelisha telegram kuruhusu app iwe kwenye pc moja kwa moja sio?
 
Kuna nchi ambazo Telegram, inawika sana kama watsupp hapa Tanzania!!! Mfano Kenya Telegram inatumika Sanaa, nchi za karibu kama Tunisia, North Sudan, Misri nk
Kama hiyo haitoshi, kutokana na uwezo wa Telegram kuweza ku share mafail makubwa na kuweza ku accommodate namba kubwa ya members, Basi hupendwa sana na wanachuoo!!!!

Ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbe ni wa tz ndio hatuitumii sana telegram kuna wengine ni default app,,,... sawa mkuu ..

me nilikuwa na request nitumiwe document kwa telegram... dah mtu anakwambia haijui kabisaaaa...
 
Telegram Tanzania pekee ndio watumiaji wa kubangaisha,Ila nchi za njee 90% wanatumia kwa biashara hasa investment on crypto unakuta group lina watu 70k,120k,200k nk

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
shukran kwa kunijuza mkuu
 
Kuna nchi ambazo Telegram, inawika sana kama watsupp hapa Tanzania!!! Mfano Kenya Telegram inatumika Sanaa, nchi za karibu kama Tunisia, North Sudan, Misri nk
Kama hiyo haitoshi, kutokana na uwezo wa Telegram kuweza ku share mafail makubwa na kuweza ku accommodate namba kubwa ya members, Basi hupendwa sana na wanachuoo!!!!

Ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
Iran pia mkuu.Watu hutumia telegram kupita kiasi yaani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wapunguze idadi ya watu iwe ata 400 hivi afu kingine kuna mapungufu mengi ya WhatsApp wanashindwa kuyafanyia kazi mfano mtu akireply text yako haupati notification
 
Wakuu kwaninii whatsap iwe inatumiwa sana hali ya kuwa huwezi kuitumia moja kwa moja kwenye pc mpaka uwe an application nyingine au uwe na simu ya whatsap uscan code?

tofauti na telegram ambao unaweza itumia moja kwa moja kwenye pc na simu pia lakin watumiaji weng utasikia kila siku magroup ya whatsap, na hata utasikia watu weka namba nikutumie whatsap na ngumu mtu kusema nikuumie telegram.

natamani whatsap wengetengenza pia desktop ap kama telegram isiyohitaji immulators na sio hii ya kuscan code...

kama ipo nifahamishwe
Tatizo mRussia huyo alieitengeneza WhatsApp ndio huyohuyo anaemiliki telegram baada ya kumuuzia mmiliki wa Facebook hiyo WhatsApp so utaona bado kawazidi akiri developer wa WhatsApp... Telegram kwa mawazo yangu ndio nafikiri ni social network bora zaidi duniani... But matapeli kule ndio sehemu yao usipokua makini...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri wa Telegram hata kama utaibiwa sim/poteza/reset au ume uninstall app ya Telegram na ukaja rudishia acc hata baada ya miezi 6 utazikuta messages na mafaili yako vilevile ulizochati na watu ulipoishia,,, Pia messages za magroup utazikuta vilevile tangu group lianzishwe na ulipoishia kusoma ndio itaanzia hapohapo ukifungua group, hii ni kwa sababu data zako za telegram zinatunzwa na server yao, haina end to encryption kwenye device yako... In short ina mazuri mengi tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I've 63 number in my phone.

-47 of them use WhatsApp.

-2 of them use Telegram.

-14 use neither WhatsApp nor telegram.

But to be fair telegram is by far best and better in e'rthing startin with privancy, groups capacities etc I NEVER HEARD FREQUENCY PROMOTION ABOUT TELEGRAM
 
Back
Top Bottom