Telegram nini kinaendelea?

Status
Not open for further replies.

mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
11,415
2,000
Group zipo nyingi aisee za mautamu ela yako tu halafu sio mizinguo huko hakuna maswala ya tuma nauri mambo yapo kipro hakuna kuzinguana
Sema noma kuweka link hapa naweza nikala ban aisee na serikali ikaingia ikaharibu mambo
Ila biashara now telegram mambo yapo huko
Kuna group 1 hiyo ya kenyan ni noma ukiwa na mpunga wa kueleweka malaya unamvusha boda aisee wakenya wamepinda wanajua kusaka mpunga
Nipe link pm braza
 

MoneyHeist4

JF-Expert Member
Jul 10, 2017
1,367
2,000
Mimi mteja mkubwa wa huko kila mkoa unapata pisi kali , acha kuisema vibaya telegram mkombozi wa wanyonge.
 

Aladeen04

JF-Expert Member
Sep 6, 2016
2,567
2,000
Mimi niko telegram muda mrefu na natafuta hizo links za wauza nyapu sizipati wewe leo umejiunga eti unakutana nazo....si bure kuna hujuma hapa.
Kabisa mkuu why akutane nazo yeye tu? Alifanyaje fanyaje?
 

Demi

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
24,084
2,000
Ni hivi nimedownload app ya telegram sasa huko nimekutana na links wanazoshea ni za magroup na sikujua ni ya nini

Japo mengine wanasema ni ya movies nk ila baada ya kujiunga nilichokutana nacho ni balaa

Hapa nawaza sijui app yenyewe niifute duh ni zaidi ya hatari
Mbona mimi sioni hayo mambo ya ajabu? Unachokitafuta ndicho unachokipata...sijui hata unalalamika nini
 

Demi

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
24,084
2,000
Link plz maana npo kitambo Telegram ila sielewi chochote kweli conection muhimu
Sina link yoyote mkuu, huwa natumia telegram mara chache Sana lkn sioni kitu cha ajabu napata ninachokitafuta. Naskia kuna machannels huko Malaya wamejaa kibao ushindwe wewe. Ila sijawahi ona. Mtoa mada akupe link
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom