Bye bye whatzupp ?!
Now introducin new app called TELEGRAM with highspeed msg delivering capable to send files up to 1GB, nd also it features to share Word nd powerpoint files... group capacity 200 people...
To download "Telegram" scroll down..
-
"Telegram (N Edition)"
https://play.google.com/store/apps/details?id=org.telegram.messenger
apk file lake dogo just 8.5mb, inaweza tuma docs file za word na powerpoint.
lakini kimuonekano, mpangilio mpala icones ni whatsapp totaly
telegram iko pouwaaaaa lakini kwa baadhi ya version zingne za sim inazngua ku-upload profile picture na background photo, other things freeesh +powerpoint files
Kipya hakinyemi
Kwa whatsapp bado sana sijui ka wanayo app ya windows,iOs na symbian...kama wamejiami huko kote basi wataweza kumpindia
Hapa Africa wakitaka kutushika ndo Whatsapp wakisema wanalipisha 0.99$ baada ya huo mwaka ndo majanga ya kuikimbia yatakapoanza
Maana we Africans tunataka vya BURE
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]WASWAHILI tuna haki ya kupenda vya bure...si wao ndo walitukoloni mamamae zaoooo
Ni maamuzi tu ya mtu sioni mbaya wakihamia huko. Apps hii haijanza leo ipo toka 2013, na kiusalama ni nzuri zaidi ya whatsapp.Na kibongo bongo wengi watahamia telegram maana mimi almost watu wangu wote wa whatsapp wamesha install na wanaenjoy sana.