Mkuu...kitu gani ambacho unaona ni chuki aisee? TBC tv ina quality mbaya sana hasa na ukizingatiwa mabilioni ya shilingi yaliowekwa pale....Chuki zako zisikufanye uache kutumia akili kufikiri. Hakuna uhusiano wa technology na hilo ulilolisema, hizo ni errors na hufanywa na stations zote hapa bongo kwa nyakati tofauti tofauti. Ndio maana tukaitwa nchi za ulimwengu wa tatu
Jana nilitoa kero zangu dhidi ya TBC1 na leo wanaotazama taarifa ya habari ya saa 2.00 usiku mmejionea wenyewe. Taarifa inasomwa badala ya kuletewa picha inayohusiana na tukio, linakuja advertisement kisha wanajichanganya na kutulia kama dk 5 kabla ya kuendelea. What's the problem? Is it poor preparation or low technology?
Stevemike,Jana nilitoa kero zangu dhidi ya TBC1 na leo wanaotazama taarifa ya habari ya saa 2.00 usiku mmejionea wenyewe. Taarifa inasomwa badala ya kuletewa picha inayohusiana na tukio, linakuja advertisement kisha wanajichanganya na kutulia kama dk 5 kabla ya kuendelea. What's the problem? Is it poor preparation or low technology?