Teknolojia ya kufukuza mvua arusha

Haika

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,348
559
Ti ni kweli kitaalamu kuwa wakulima wa maua wanayo teknolojia ya kufanya mvua isinyeshe? Manake kila kona, wananchi wanalalamika huu ukosefu wa mvua wakatio karibu kila siku mawingu yanafunga.
 
Nadhani kuna ukweli ndani yake...hawa jamaa wa maua mvua hawaitaki kabisa.

Ti ni kweli kitaalamu kuwa wakulima wa maua wanayo teknolojia ya kufanya mvua isinyeshe? Manake kila kona, wananchi wanalalamika huu ukosefu wa mvua wakatio karibu kila siku mawingu yanafunga.
 
hili la teknolojia nimelisikia saana
sijui likoje
hata wamachinga nasikia 'wanahusika sana' na kuzuia mvua Dar..
ni ikitokea wanafukuzwa mjini utashangaa kesho yake mvua inanyesha...
sijui ikoje hii
 
Ata Sumbawanga wazuia mvua!


technologia ya kuzuia mvua ipo, ila Tanzania hatuna, kwani ilikuzuia mvua inabiidi wataalamu waende na helcopter angani na kumwaga kemikali ambazo hutawanya mawingu. hayo mambo nimeshuhudia kwa macho yangu wakti Jiji la Moscow llikuwa linaadhimisha sherehe ya kufikisha miaka 800, na siku hiyo kulitakiwa kunyesha, hivyo jamaa walikwenda wakatawanya mawingu yote, na sherehe zikaendelea kama kawaida
 
Hii kitu ni kweli Arusha?, manake wingu huwa linafunga kweli then baadae linapotea kimasihara
 
Watanzania tutaenedelea Kuakia Msikini Milele, Kilimo cha maua kinaendeshwa ndani, yaani ni Green houe Agriculture, sasawatazuia vipi mvua wakati wao Maua yao yako ndani na si nje?
 
Back
Top Bottom