ManiTek TV
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 410
- 159
hahahaa, mimi mbona nilishasema toka mwanzo kabisa kabla hii simu haijatoka, design in flaw sikuipenda, ile design ya tofali flame yake ilikuwa superior, mwaka huu naona Tim akaamua kusacrifice ili simu iwe thinner bila kufanya majaribio ya kutosha, Tim bado sana huyu jamaa, Jobs akifufuka anaweza kuikana kampuni! Hili tatizo nadhani watalicover kwenye warranty yao, na kwangu mimi ni dalili nzuri kwamba 6s watajirekebisha, uamuzi wangu wa kutonunua iPhone 6 nauona uko sahihi tu angalau kwa sasa. Apple bado ni kampuni yangu, iOS bado ni OS yangu pendwa, na 5S nitadumu nayo, Galaxy Note Edge nitanunua kwa ajili ya kujaribu ladha ya Android tu.
kwa wale waliokuwa wakiikandia design mpya ya apple nafikiri walikua sahihi kwa decision yao ya kueka aluminium imezua balaa kubwa duniani kote. watu wengi kutoka maeneo tofauti duniani wanaripoti iphone 6+ zao zinajikunja. ukiieka kwenye mfuko wa suruali ukikalia kidogo inajikunja kutokana na udhaifu wa alluminium.
watani zangu bado mnataka kununua simu yenu?
Mkuu siku nyingi sijakusoma, Usiwe unatusahau kihivyo.Simu hazitengenezwi ili zikaliwe. Anayekalia phablet ana matatizo kama huamini na una phablet basi anza tabia ya kuikalia kuanzia leo, kama haitapinda basi itadata kioo. Hili tatizo limechangiwa na mambo mawili:
1. Simu ni ya aluminium, ambapo wengi tutakubaliana kwamba aluminium ni bora kuliko miplastiki ya Samsung.
2. iPhone 6 Plus huenda ikawa ni Phablet nyembamba kuliko zote. Hii ina maana kuwa hata fremu yake ni nyembamba
Uzuri wenyewe haipindi kwa sababu unapiga simu au una surf internet bali kwa kuikalia au kuipinda kwa makusudi. Kwa hiyo kama unataka kununua simu hii go ahead it is a great phone. In my opinion the best Phablet in the market at the moment. chief-mkwawa ni mpinzani wa Apple tu sio kwamba hajui ukweli.
Na vile vile kama yupo ambaye ananunua simu ili iwe ni kigoda chake cha kukalia basi iPhone 6 Plus kweli haifai.
Sawa kaka but kwa ukweli kila smartphone has got its weakness, kwa mfano nikuulize, unatumia smartphone ipi?
Apple have to deal with it, ni design flaw ya 6+, kwanza ni top heavy, you always feels like it's gonna tip over at the top and fall and for 6+ the problen is mainly where kuna cuts za volume rockers! The size and thinness doesn't help either...!! And I'm glad the i6 isn't affected with this in a way the i6+ is.
Also, I bet samsung is now busy making an Ad to make fun of the 6+.
Simu hazitengenezwi ili zikaliwe. Anayekalia phablet ana matatizo kama huamini na una phablet basi anza tabia ya kuikalia kuanzia leo, kama haitapinda basi itadata kioo. Hili tatizo limechangiwa na mambo mawili:
1. Simu ni ya aluminium, ambapo wengi tutakubaliana kwamba aluminium ni bora kuliko miplastiki ya Samsung.
2. iPhone 6 Plus huenda ikawa ni Phablet nyembamba kuliko zote. Hii ina maana kuwa hata fremu yake ni nyembamba
Uzuri wenyewe haipindi kwa sababu unapiga simu au una surf internet bali kwa kuikalia au kuipinda kwa makusudi. Kwa hiyo kama unataka kununua simu hii go ahead it is a great phone. In my opinion the best Phablet in the market at the moment. chief-mkwawa ni mpinzani wa Apple tu sio kwamba hajui ukweli.
Na vile vile kama yupo ambaye ananunua simu ili iwe ni kigoda chake cha kukalia basi iPhone 6 Plus kweli haifai.
Tupo pamoja idawa majukumu tuMkuu siku nyingi sijakusoma, Usiwe unatusahau kihivyo.
Ila kwa mzembe kama mimi hapo ni tatizo.
Wewe umefanya nn au kukaa tu kusubiri kuongea majungu au ww unajua zaidi ya hao wateja wa apple?fanya kazi acha majungu
lg tayari ameshapublish tangazo anaifananisha lg flex
hahahaa, mimi mbona nilishasema toka mwanzo kabisa kabla hii simu haijatoka, design in flaw sikuipenda, ile design ya tofali flame yake ilikuwa superior, mwaka huu naona Tim akaamua kusacrifice ili simu iwe thinner bila kufanya majaribio ya kutosha, Tim bado sana huyu jamaa, Jobs akifufuka anaweza kuikana kampuni! Hili tatizo nadhani watalicover kwenye warranty yao, na kwangu mimi ni dalili nzuri kwamba 6s watajirekebisha, uamuzi wangu wa kutonunua iPhone 6 nauona uko sahihi tu angalau kwa sasa. Apple bado ni kampuni yangu, iOS bado ni OS yangu pendwa, na 5S nitadumu nayo, Galaxy Note Edge nitanunua kwa ajili ya kujaribu ladha ya Android tu.
Wewe umefanya nn au kukaa tu kusubiri kuongea majungu au ww unajua zaidi ya hao wateja wa apple?fanya kazi acha majungu
kuna weakness za kawaida ila hii ni too much unaipinda na vidole? kweli kaka ni kawaida hii? watu wanalalamika zinapinda hadi kwenye mifuko ya mbele ya shati.
mnhhh iphone 6+ ni bora kuliko note 4? can you prove it? japo naipenda nokia ila siku zote nairate 1520 nyuma ya note
Mkuu Kwani kuna shati zina mifuko nyuma?
Mti wnye matunda ndio hupigwa mawe
Hizi huwa ni hadithi za kawaida kabisa kila Apple akitoa simu mpya, yatasemwa mengi sana