Teknolojia ya Iphone 6 Apple wamechemka

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,234
Reaction score
44,273
kwa wale waliokuwa wakiikandia design mpya ya apple nafikiri walikua sahihi kwa decision yao ya kueka aluminium imezua balaa kubwa duniani kote. watu wengi kutoka maeneo tofauti duniani wanaripoti iphone 6+ zao zinajikunja. ukiieka kwenye mfuko wa suruali ukikalia kidogo inajikunja kutokana na udhaifu wa alluminium.

watani zangu bado mnataka kununua simu yenu?
 
Last edited by a moderator:
Te!te! Waswhili wanasema kuchamba kwingi.........iPhone wapunguze manjonjo.
 
Lakini kijikunja sindio miongoni mwa technologia zinazofuatiliwa so nafikir ni lengo lao kutumia material flexible
 
LG G flex shuld sue Apple coz wame copy bending structure bila idhini yao
 
Mti wnye matunda ndio hupigwa mawe
Hizi huwa ni hadithi za kawaida kabisa kila Apple akitoa simu mpya, yatasemwa mengi sana

Enjoy your ibanana 6 made with soda can grade aluminum!
 
Lakini kijikunja sindio miongoni mwa technologia zinazofuatiliwa so nafikir ni lengo lao kutumia material flexible

hapana sio feature ni choice mbaya ya material. alluminium ikijikunja mara 2 au 3 inakatika. inamaana huyo jamaa akiibend kulika na kushoto kidogo tu itakatika vipande viwili
 
cha ajabu hapo bdo watu wateendelea kuweweseka na jina IPHONE 6
 
Mnaponda tu. Kwanza chanzo cha hii habari hatukijui. Hakuna kama iphone. Visimu vingine full kuchemka. Full ku stuck. Full kuingiliwa virusi. Nakumbuka nilikuwa na blackberry in the middle of a call the phone suddenly stucks. 😂😂😂😂. Apple wametisha na tunaendelea kula maisha.
 
Bending is not one of the features of the iPhone 6+,when you get one, don't try that at home. Lakini kama tukitaka kuipondea hii cm labda zingewekwa na specs zake ambazo hazifai, ndio tujue kwamba hiyo cm haifai
 

chanzo tu? hilo lisikupe shidA

1.CHANZO CHA kwanza phonearena
More worrying evidence of the iPhone 6 Plus' fragility: see it easily getting bent on video

2.chanzo cha pili gsmarena
Apple iPhone 6 Plus appears prone to accidental bending - GSMArena.com news

3.chanzo cha tatu pocketnow
iPhone 6 Plus suffering bend damage: you're carrying it wrong? (Poll) | Pocketnow

au chagua wewe unataka website gani kubwa za tech upewe source sababu hii ndo habari dunia nzima wanajua
 
Bending is not one of the features of the iPhone 6+,when you get one, don't try that at home. Lakini kama tukitaka kuipondea hii cm labda zingewekwa na specs zake ambazo hazifai, ndio tujue kwamba hiyo cm haifai

kaka sio kwamba haifai unaweza tu kununua case ukaitumia.

kinachoshangaza hapa kwanini ibend? inamaana wametumia material cheap na hizi mbio za kutengeneza simu nyembamba ndio yakaja kutokea hayo. kwa simu ambayo unauziwa mamilioni ya hela inabidi iwe ngumu. yani ukijisahau tu ukaieka mfuko wa nyuma ukaikalia basi milioni ndo inasepa.
 

Sawa kaka but kwa ukweli kila smartphone has got its weakness, kwa mfano nikuulize, unatumia smartphone ipi?
 
Mkitaka kujua hilo, basi nendeni youtube mkaangalie drop-test kwa hizo smartphone zote, yani iPhone wana tengeneza vifaa vya imara pamoja na Nokia, Samsung ni wabovu kwenye hilo eneo, sasa hiyo haiwezi kuwa sababu moja tu ya kusema hizi nyingine mbovu kwa msingi huo. Juzi tu nlikuwa CNET wanasema ndani ya wiki moja tu, yangu ziruhusiwe kuuzwa, iPhone wameuza zaidi ya copy milioni 10 hata baada ya pocket now, GSM arena na wengineo kuipondea
 
Apple have to deal with it, ni design flaw ya 6+, kwanza ni top heavy, you always feels like it's gonna tip over at the top and fall and for 6+ the problen is mainly where kuna cuts za volume rockers! The size and thinness doesn't help either...!! And I'm glad the i6 isn't affected with this in a way the i6+ is.

Also, I bet samsung is now busy making an Ad to make fun of the 6+.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…