Teknolojia: Touch screen inatumia umeme wa binadamu

Teknolojia: Touch screen inatumia umeme wa binadamu

Peni za simu (stylus) za kisasa ni capacitive. Zina Alminium ya kupitisha umeme. Ukiwa makini unaweza kutumia peni ya kawaida ukiifunga vizuri na alminium foil mradi hiyo aliminium igusane na ngozi ya binadamu hiyo peni ya kawaida inaweza kutumika kama peni ya simu.
Mchongo huu nitauchangamkia ikikubali nitatengeneza hii kalamu niuze kwenye Ebay[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vaa gloves tuone kama hiyo peni itaandika. Utupe majibu sayansi sio lazima uwe darasani.
Mkuu simu yangu ina glove mode, Nimewahi kuitumia mara nyingi tu nikiwa nimevaa gloves

sent from my Sony Xperia using jamii forums mobile app
 
Mkuu simu yangu ina glove mode, Nimewahi kuitumia mara nyingi tu nikiwa nimevaa gloves

sent from my Sony Xperia using jamii forums mobile app

Mkuu hii glove mode ni utaalamu wa ku bypass glove. Lakini bado lazima kidole chako kinyonywe umeme. Weka kizuizi cha umeme kati ya kidole chako na gloves halafu simu iweke kwenye glove mode tuone kama itafanya kazi.
 
Inatumia Radiation zenye wave length ndogo sana ambazo zina madhara ya Muda mrefu ambapo Electrical energy imekuwa converted to light energy.

Madhara yake kwa Muda mrefu ni Muttation ( Abnormal dividing of cells) Mf , Saratani, kupoteza nguvu za kike/kiume n.k
 
Chukua ganda la tunda lolote mfano ndizi utumie kwenye touch yako utaona inafanya kazi nishajaribu
 
Back
Top Bottom