teh teh teh

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Jamaa watatu walikodisha hoteli ya ghorofa 60, wao wakapata ghorofa ya mwisho kabisa, wakapanda kwa lift na asubuhi wakashuka kwa lift, jioni walivyorudi wakakuta umeme umekatika wakakubaliana wapande ngazi kwa stori, wa kwanza apige za kutisha kuanzia ghorofa 1-20, wa pili kuchekesha kuanzia 21-40, wa tatu kuhuzunisha kuanzia 41-60, wakapanda walivyofika ya 59 yule wa tatu akasema hii ndo ya kuhuzunisha zaidi, TUMESAHAU KUCHUKUA FUNGUO PALE RECEIPTION!!
 
Sijaelewa kupanda ngazi hadi uombe lift ?!!!! Asa umeme ukikatika ndo jamaa wanagoma kutoa lift au ?!!! Mweee kazi ipo.
 
Sijaelewa kupanda ngazi hadi uombe lift ?!!!! Asa umeme ukikatika ndo jamaa wanagoma kutoa lift au ?!!! Mweee kazi ipo.

Duh! Dawa ya sikio kweli kilaza!
Lift wamemaanisha mashine ya umeme inyotumika kupanda au kushuka kwenye majengo ya ghorofa
 
Back
Top Bottom