Teh teh teh kashindwa kununua kisa............ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Teh teh teh kashindwa kununua kisa............

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Logo, May 2, 2011.

 1. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jaman hapa msaada tu unahitajika. Tumekipoteza kingereza na kiswahili cha kisasa haya majina kwa english ya ukweli yatakaaje:-

  1. Suruali ya wanawake
  2. Brouse
  3. T-shirt ya wanawake
  4. Top za wanawake
  5. kibode cha wanawake
  6. sketi mixer
  7. Pochi

  Naombeni msaada wa majina ya kitaalamu jaman kuna mtu wangu yupo nje kshindwa kununua kisa akisema hayo majina wenzie wanapigwa butwaa!
  Naombeni msaada!
   
 2. Fredwash

  Fredwash JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2011
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 594
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 60
  khe jamani kwani hizo sarawili za wanawake kuna jina jingine zaidi ya hilo we c uitage tu women trousers..au kuna mengine mapya.. mmh na hz elimu zetu za ngumbalo then tunaenda kuziupdate na vingereza za subtitle za movies na lyrics za nyimbo zitatupa shida... na hao wasiomuelewa waache zao....
   
Loading...