Teh teh teh!kama unapresha utajijuuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Teh teh teh!kama unapresha utajijuuu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Vanpopeye, Aug 4, 2011.

 1. Vanpopeye

  Vanpopeye JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 600
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  TCU matokeo ni mwezi wa 8,sasa hatujui ni tar ngapi maana tar 4 ndo hii!hahahaaaaa
   
 2. t

  tope pondwa Member

  #2
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Daah huwezi amini yaani toka mwezi Julai,mpaka leo au mpaka swali liulizwe na mbunge??? Halafu ndo watoe matokeo!!!
   
 3. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  kaka mbona wasiwasi sana ulichakachua nini? kuwa na subira kama ulifaulu kwa haki na umetumia vyeti halali usihofu utafanikiwa tu hakuna haja ya kuwa na papara hayo ndo mambo ya CCM kuongeza urasimu tu usiokuwa na tija.
   
 4. Vanpopeye

  Vanpopeye JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 600
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Kaka we acha tu,familia zetu znahtaj taarifa za haraka ili maandaliz yaanze mpaka mtu uende chuo umetimia kifedha kias flani!
  <br />
  <br />
   
 5. TabletFellow

  TabletFellow JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  matokeo gani? wengine wazee humu
   
 6. Vanpopeye

  Vanpopeye JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 600
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Selekshen za chuo,kwan wewe huon meandka TCU hapo,ebo?
  <br />
  <br />
   
Loading...