Skata mtataJr
Member
- Feb 10, 2017
- 22
- 26
TEGUA KITENDAWILI HIKI ILI TUONE KAMA UNAWEZA KUFIKIRIA KWA MAKINI.
KINASEMA:
"(Mimi Niwakwanza Duniani Na Niwapili (2) Mbinguni,
Huwa Natokea Na kuonekana Mara Mbili (2) Kwa Wiki Lakini Waweza Kuniona Mara Moja (1) Tu
Kwa Mwaka Japokuwa Nipo Katikati Ya
BAHARI
Je Mimi Ni Nani?
Na ninaishi Wapi?"