tegua kitemdawili hiki

tegua kitemdawili hiki

ladyisa

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2014
Posts
660
Reaction score
149
ninaye ndege mzuri,mrembo wa kupendeza,rangi zake mashuhuri ,ni nne nawaeleza.ndizo rangi za fahari'urembo kuutimiza,ndege huyu ndege gani hapa kwetu ፐanzania.
 
kunguru.
 
Eti anataka kumaanisha ile bendera
 
Back
Top Bottom