Tegete Aamua Kuja Kivingine

Tegete Aamua Kuja Kivingine

Badilisha Kwanza Ubongo Wako Uliojaa UKOKO na MATAPUTAPU Kisha Ndipo Uje Kwangu Sawa? Kuna UKIMWI Wa Kujitakia Na Wa Bahati Mbaya ILA Kwa Huyo au Hao Mnaowatetea Ni Wa Kujitakia Kwani Walishaonywa Sana NA Mno Kupitia Mfano Halisi Wa Marehemu Method Mogella ( Fundi ) Lakini Hawasikii Hivyo Kuwasema Ni Tiba Pia Ya Kuwasaidia Na Wengineo! Jifunze Kujenga Hoja Vinginevyo NITAKUDHARAU Zaidi Ya Hapa.

Hivi akili zako ziko sawa?nisije nikatumia nguvu kujibizana na mtu ambae alitakiwa awe milembe au lutindi.
 
Hivi akili zako ziko sawa?nisije nikatumia nguvu kujibizana na mtu ambae alitakiwa awe milembe au lutindi.

Nadhani Nimeshamalizana Na Wewe Na Isitoshe Kuna Watu Wenye Akili Zao Humu Na Ninaowaheshimu Na Tunaheshimiana Wamenisihi Nisipoteze Muda Wangu Na Mbwa Koko Wewe Hivyo Naufunga Rasmi Mjadala Na Wewe ILA Nakuruhusu Uendelee Kunitusi Na Kunikashifu Utakavyo Na Sitokujibu Tena....Akhsanteni Nyote Mlioniuma Sikio Kuhusu Mbwa Huyu!
 
Huwa Sibahatishi Na Nina Uhakika Na Nikiandikacho Humu. Wachezaji Wa Kibongo Ni Full Ngononization Tena Iliyo Zembe.
Hata kama sio kweli hili ni onyo vijana wajichunge ni kweli ukiwa mchezaji hapa Tanzania uasherati wa kizembe ni sehemu ya maisha ya uchezaji wachache sana wanajielewa na kujiheshimu.
 
Na Isitoshe Hata Hivi Ninavyowasema Nasaidia Pia Kutoa Elimu Kwa Wachezaji Haswa Hawa Wanaochipukia Kama Akina Manyika Jr Wa Simba, Edward Charles Wa Yanga, Ali Ameir Wa Mtibwa, Mao Mkami Wa Azama Na Wengineo Wengi Tu ILI Na Wao Wasije Ingia Mkenge. Tena UNGEKUWA Na AKILI Ungenisifu Kwa Kusema Ukweli Ili Watu Tujifunze Na Tubadilike Hivyo Kama Ni Suala La Kubadilika Anza Kwanza Kubadilika Wewe Na Huo UBONGO Wako Uliojaa MATOPE na MAJI Machafu Ndipo Nami Nitabadilika. Na Ndiyo Kwa Staili Hii Hii Ya Kufichiana Ukweli Tuliyonayo Watanzania Ndiyo Maaana TUNAPUKUTIKA Kama Sisimizi. Unakumbuka Rais Mstaafu Wa Afrika Ya Kusini Hayati Mzee Tata Madiba Mandela Alivyodhihirisha Kuwa Yeye Ni Muumini Wa Ukweli Na Uwazi Pale Aliposimama Na Kumuumbua Yule MC Mr. Zandezi Matumelong Baada Ya Yule MC Kusema Kuwa Mtoto Wa Kiume Wa Mandela Kafa Kwa Saratani Ndipo Baba Yake Akainuka Kwa Haraka Na Kwenda Kumnyang'anya MC Kipaza Sauti Na Kuueleza UMMA Pale Kuwa Mwanae Wa Kiume Alifariki Kwa Ugonjwa Wa UKIMWI.

Sasa Wewe Na Mandela Nani Mwenye Heshima Na Cv Kubwa Hapa Duniani? POPOMA Mkubwa Wewe Na Siku Nyingine Ukijua Tu Kuwa Unataka Kujibizana au Kubishana Na GENTAMYCINE Jipange Kwanza Kihoja Na Uwe Na Akili Za Kutosha Vinginevyo Utadhalilika Na Huwa Napenda Mno Kuwaumbua Na Kuwadhalilisha Wajinga Wajinga Kama Nyie.

au Unataka Nikuongezee Na Wachezaji Wengine Ili Ufaidike Zaidi? au Unadhani Hata Mimi Sijafiwa Na Ndugu Zangu Tena Wengi Tu Kwa Ugonjwa Huo? au Unadhani Mimi Nawacheka au Nafurahia Wao Kuugua? Dhamira Yangu Kubwa Ni Kuwasema Ili Wabadilike Na Nguvu Kazi Yetu Ya Taifa Isiteketee. Acha KUDANDIA TRENI KWA MBELE na Jipange Upya!
Wanaobisha soka la bongo hata lile la mchangani ambako ndo wachezaji wetu wengi wanatokea, limetawaliwa na ngono zembe kuna uwezekano wapo mbali na soka. Vijana wengi hawajitambui wanafata mkumbo. Ukweli kunahitajika nguvu ya ziada kuelimisha vijana wetu hawa. Ifike mahali wachezaji waliathirika wajitokeze hadharani waokoe wadogo zao vinginevyo tutumie ukumbi huu tuendelee kuelimishana na kuonyana.
 
tatizo ni kwamba wachezaji wa bongo wanapenda sana ngono
 
Umenukumbusha ligi za kotecha magomeni wachezaji wakali karibu wote wametoka hapo asee jerry,mrisho,mwinyi,kuresh( henry),yondani,gido,kessi etc
 
Tegete mkataba wake unaisha mwisho wa msimu huu.. Nategemea kumuona Tegete mpya msimu ujao akiwa katka uzi wa klabu nyingine.
 
Wanaobisha soka la bongo hata lile la mchangani ambako ndo wachezaji wetu wengi wanatokea, limetawaliwa na ngono zembe kuna uwezekano wapo mbali na soka. Vijana wengi hawajitambui wanafata mkumbo. Ukweli kunahitajika nguvu ya ziada kuelimisha vijana wetu hawa. Ifike mahali wachezaji waliathirika wajitokeze hadharani waokoe wadogo zao vinginevyo tutumie ukumbi huu tuendelee kuelimishana na kuonyana.

Babacollins Akhsante Na Ubarikiwe Sana Kwani Sikujua Kama Kuna Watu Wenye UPEO Mkubwa Kama Wewe Mngeniunga Mkono Kwani Nashambuliwa Pasipo Hoja Ya Msingi Na Bado Nimewapa References Kadhaa Bado Wanakuwa Wagumu Kuelewa. Hongereni Nyote Mlionielewa Na Mnaonielewa Na Kwa MAPOPOMA Wote Poleni Sana.
 
Back
Top Bottom