GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,705
- 128,214
hapo anayefuatia ni Mrisho Ngono tena hawa ni maswahiba
Huyo Dogo Kuoa Kwake Ni Formality Tu ILA Anaueneza Kama Hana Akili Nzuri Na Bibie ISHA MASHAUZI Nae Ameshaingia ktk Anga Zake Na Sasa Ndiyo Ana MGEGEDA..... Dogo Ngassa Anapenda Mno Na Sana MITINGINYA a.k.a Marcopolo Na Yutong Na Ndiyo Hao Hao Waliomwambukiza. Namsikitikia Sana Isha Mashauzi Kwani Ni Poti Wangu Wa Mara Ila Ndiyo Hivyo Tena.