Tegete Aamua Kuja Kivingine

Tegete Aamua Kuja Kivingine

Mkuu umeua eti ubongo umejaa maji machafu na matope,hapa hata John Hopkins school of medicine watatoka kapa duuuuuuuh.

Ukinijia Vibaya Hayo Ndiyo Madhara Yake. Napenda Sana Mtu Anayejua KUFIKIRI Na Si POPOMA!
 
ndio maana nikakwambia tabia zako na Dada zako hazipishani.jf is no longer home of great thinkers

Great Thinker Huwa ANATAGISHWA MAYAI Kama Wewe? Hivi Jana Watu Humu Walivyokuwa Wanamsema Na Kumtuhumu Mbunge Sugu Kuwa Anavuta Mno Bangi Na Kunywa Viroba Na Ndiyo Maana Anakumbwa Na Maswahibu Yale Pale NYIE MNAOJIITA Ma GREAT THINKERS Mlikuwa Hamumshambulii Mbunge Sugu? Je Mbona Sikukuona Ukijitokeza Jana Kulikemea Lile? au Kwako Wewe MKEMEO Unakuja Pale Tu GENTAMYCINE Anaposema Jambo Humu JF?...Nachukiwa Na MAPOPOMA Wengi Humu ILA Napendwa Na WENYE AKILI, MAARIFA na WANAOONA MBALI Humu JF Na Labda Niseme Tu Sitobadilika Na Ukija Na Hoja Ninayoijua Na Ninayodhani Kuwa Nikisema Ukweli Nitawapa Watu Ufahamu Na Kuchukua Tahadhari Sitochoka Wala Kuogopa Kukisema Na Bahati Nzuri MSHIPA Wangu Wa UWOGA Ulikatwa Pale Pale Agha Khan Hospital Wodi Ya UZAZI Mwaka 1979 Na Mkunga Sister Natasha Darleen Siku Ya Jumanne Saa 1 Kasorobo Asubuhi Nilipoiona Tanzania Ya Babu Yangu Hayati Mwalimu Julius Kambarage Burito Nyerere.
 
Hata Mimi sitachoka kuwaridisha kwenye mstari wanaume maumbile wanawake kitabia
 
Yaani kwa maneno yako nina uhakika upo TEAM WEMA au TEAM KAJALA.
Mwanaume huwezi kujisifia kuwa bingwa wa maneno ya shombo
 
Ila SHOMBO Lako limezidi Kwani Kutwa Linatolewa KINYESI Na Midume!
 
Hata Mimi sitachoka kuwaridisha kwenye mstari wanaume maumbile wanawake kitabia

Kamrudishe Kwanza ktk Mstari Bi. Mkubwa Wako Kwa Kosa La Kukubea Mimba ktk Vijiwe Vya Gongo Na Mataputapu!
 
Tatizo La Tegete Si Kucheza Mpira Ila Ana Tatizo Sasa Kubwa La Kisaikolojia Haswa Baada Ya Kugundulika Kuwa AMEJIKWAA Kiafya ( Hapa Nadhani Mtakuwa Mmenielewa ) Na Pia Kitendo Cha Yule Demu Wake Wa Mwananchi / Mwanaspoti ( Magazeti ) Kugundulika Kuwa Yeye Yupo SALAMA Na Kuamua Kumtema Jerry Na Kumfukuza Nyumbani Kwake Sinza Kumemgharimu Mno Dogo Haswa Ukizingatia Jerry Alikuwa Analelewa Tu Na Huyo Demu Na Alipoachwa Nae Akawa Anaishi Gesti Za Tabata. Wanaomsaidia Sasa Kumuweka Sawa Kisaikolojia Ni Canavaro Na Chuji. Ushauri Wangu Tu Kwake Jerry AJIKUBALI Na Awaige Wenzake Dogo Ngassa Na Okwi Ambao Wenyewe WAMESHAJIJUA Na Sasa Wanaponda Tu Raha Kwa Kwenda Mbele Huku Wakisukuma Siku. Abstain, Be Faithful Or Condomize Guys Please!

Hakuna tabia inayonikera kama kumtangaza mwenzako ana ukimwi.Hivi wewe unaemsema mwenzako wewe umepima lini?.Kumbuka ukimuonyeshea mwenzako kidole kimoja kuna vitatu vinakutazama.Hata kama anaumwa kweli we kinakupwelepweta nini.Hebu kuwa busy na maisha yako haya mambo mengine tuwaachie wakina dada.tubadilike.
 
hakuna tabia inayonikera kama kumtangaza mwenzako ana ukimwi.hivi wewe unaemsema mwenzako wewe umepima lini?.kumbuka ukimuonyeshea mwenzako kidole kimoja kuna vitatu vinakutazama.hata kama anaumwa kweli we kinakupwelepweta nini.hebu kuwa busy na maisha yako haya mambo mengine tuwaachie wakina dada.tubadilike.
umesikika kotekote mjomba
 
uliangukia pua Yeboyebo, hamia Msimbazi upate ahueni

Amavubi nitabaki Yanga hata ikitokea imeshuka daraja, naipenda Yanga sijui nisemeje nieleweke.
Mimi ni Yanga damu, huko simba hata iweje siwezi kuwa wala kujaribu.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna tabia inayonikera kama kumtangaza mwenzako ana ukimwi.Hivi wewe unaemsema mwenzako wewe umepima lini?.Kumbuka ukimuonyeshea mwenzako kidole kimoja kuna vitatu vinakutazama.Hata kama anaumwa kweli we kinakupwelepweta nini.Hebu kuwa busy na maisha yako haya mambo mengine tuwaachie wakina dada.tubadilike.

Badilisha Kwanza Ubongo Wako Uliojaa UKOKO na MATAPUTAPU Kisha Ndipo Uje Kwangu Sawa? Kuna UKIMWI Wa Kujitakia Na Wa Bahati Mbaya ILA Kwa Huyo au Hao Mnaowatetea Ni Wa Kujitakia Kwani Walishaonywa Sana NA Mno Kupitia Mfano Halisi Wa Marehemu Method Mogella ( Fundi ) Lakini Hawasikii Hivyo Kuwasema Ni Tiba Pia Ya Kuwasaidia Na Wengineo! Jifunze Kujenga Hoja Vinginevyo NITAKUDHARAU Zaidi Ya Hapa.
 
Amavubi nitabaki Yanga hata ikitokea imeshuka daraja, naipenda Yanga sijui nisemeje nieleweke.
Mimi ni Yanga damu, huko simba hata iweje siwezi kuwa wala kujaribu.
alihama Kaseja itakua BantuLady?

hata bubu alihama simba akaenda Yanga akarudi Simba...........
 
Back
Top Bottom