Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
Jerry Tegete baada ya kusotea benchi kwa muda mrefu sasa ameamua kuja na visingizio vya kusumbuliwa na nyonga eti ndio maana hachezi
TEGETE AENDELEA KUUMIZWA NA MAUMIVU YA NYONGA - SALEH JEMBE
- asituongopee wafuatiliaji wa soka maana anachofanya ni sawa na mchezaji anayetolewa na kujifanya ameumia kumbe kaboronga/hajawajibika ipasavyo
- Ni kawaida ya Yanga kuwa na mazindiko kambini, na sasa limemvaa Tegete baada ya Fred Mbuna
- akiona mambo magumu ajitie nira ya straika wa Kagame (..............)
TEGETE AENDELEA KUUMIZWA NA MAUMIVU YA NYONGA - SALEH JEMBE