GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,705
- 128,214
Hupaswi kuongea mambo binafsi ya mtu namna hii hata kama unamchukia,badilika
Na Isitoshe Hata Hivi Ninavyowasema Nasaidia Pia Kutoa Elimu Kwa Wachezaji Haswa Hawa Wanaochipukia Kama Akina Manyika Jr Wa Simba, Edward Charles Wa Yanga, Ali Ameir Wa Mtibwa, Mao Mkami Wa Azama Na Wengineo Wengi Tu ILI Na Wao Wasije Ingia Mkenge. Tena UNGEKUWA Na AKILI Ungenisifu Kwa Kusema Ukweli Ili Watu Tujifunze Na Tubadilike Hivyo Kama Ni Suala La Kubadilika Anza Kwanza Kubadilika Wewe Na Huo UBONGO Wako Uliojaa MATOPE na MAJI Machafu Ndipo Nami Nitabadilika. Na Ndiyo Kwa Staili Hii Hii Ya Kufichiana Ukweli Tuliyonayo Watanzania Ndiyo Maaana TUNAPUKUTIKA Kama Sisimizi. Unakumbuka Rais Mstaafu Wa Afrika Ya Kusini Hayati Mzee Tata Madiba Mandela Alivyodhihirisha Kuwa Yeye Ni Muumini Wa Ukweli Na Uwazi Pale Aliposimama Na Kumuumbua Yule MC Mr. Zandezi Matumelong Baada Ya Yule MC Kusema Kuwa Mtoto Wa Kiume Wa Mandela Kafa Kwa Saratani Ndipo Baba Yake Akainuka Kwa Haraka Na Kwenda Kumnyang'anya MC Kipaza Sauti Na Kuueleza UMMA Pale Kuwa Mwanae Wa Kiume Alifariki Kwa Ugonjwa Wa UKIMWI.
Sasa Wewe Na Mandela Nani Mwenye Heshima Na Cv Kubwa Hapa Duniani? POPOMA Mkubwa Wewe Na Siku Nyingine Ukijua Tu Kuwa Unataka Kujibizana au Kubishana Na GENTAMYCINE Jipange Kwanza Kihoja Na Uwe Na Akili Za Kutosha Vinginevyo Utadhalilika Na Huwa Napenda Mno Kuwaumbua Na Kuwadhalilisha Wajinga Wajinga Kama Nyie.
au Unataka Nikuongezee Na Wachezaji Wengine Ili Ufaidike Zaidi? au Unadhani Hata Mimi Sijafiwa Na Ndugu Zangu Tena Wengi Tu Kwa Ugonjwa Huo? au Unadhani Mimi Nawacheka au Nafurahia Wao Kuugua? Dhamira Yangu Kubwa Ni Kuwasema Ili Wabadilike Na Nguvu Kazi Yetu Ya Taifa Isiteketee. Acha KUDANDIA TRENI KWA MBELE na Jipange Upya!