Tegeta Escrow: Waliochota kwenye Masandarusi watajwa, gari lililotumika kubeba ni la Ikulu

Atakua yule mshikaji mnadhimu au mnikulu aliestaafu ndie alitoa gari.

Hili la kupambana na rushwa Magufuli baba tunyooshe. Umeonyesha kua uwezo na nia unazo za kupambana na wezi.

Kama hizi hela hazikua za wizi kwa nini zilichukuliwa kwenye masandarusi na mabegi. Hela halali ukazichukue kwa kujificha?

Baba tunyooshe.
 
Vipi TRA yakiletwa masandarusi hayo ya hela kama alivyofanya Ngereja mtayakana kama wenzenu TRL na vichwa vya treni.pale bandarini. Nyie sandarusi holder fanyeni kama kwenye makinikia nyie mpelekeeni jpm huko chato atatangaza kufungua bakuli la marejesho
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…