Tegeta Escrow: Waliochota kwenye Masandarusi watajwa, gari lililotumika kubeba ni la Ikulu

Tulishasema hizi ni drama za jpm tu!
aanze kuwataja wale waliomo kwenye simba trust ndio tutamuona sio mpiga porojo!
ila masuala ya kusema eti fulani muacheni apumzike......

Haya ccm anandamaneni kumpongeza! kubafuuuu!!
sehemu ya pesa hizo ilitumika kwenye kampeni ya kumwingiza jpm ikulu
 
Yaani ni kama mwanamume aliyelishwa Limbwata, anamfuma mkewe akimegwa lakini yeye anasema mke wangu mpenzi analikuwa anafanya mazoezi tuu. Mimi na yeye hadi kifo kitutenganishe.
Na wengi wao ni maskini wa kutupwa bado tisheti walizopewa kwenye kampeni ndio mavazi yao ya mtoko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom