Pumzika Teddy
Au huu mzigo wa India Covid-19 Wave umeshaingia Bongo??
Alikuaga boss serengeti nadhani kipindi cha jk...!alikua anasikika sana cloudsNdo nani huyu?
Who is next? Mungu anaishiMapema Tu. Chapu Kwa haraka.
ILA MUNGU yupo
Ndo ukiskia wanawake ni multipurpose ndo hii sasa..kwa wanawake easy tu mkuuDuh marehemu alisomba ajira za watu zaidi ya 5!
Bado nawaza aliwezaje kufanya kazi zote hizo kwa ufanisi ikiwa binadamu wote tuna 24hrs kwa siku....
Jobu NdugaiWho is next? Mungu anaishi
Lini? HahahahaJobu Ndugai
Who is next? Mungu anaishi
Early 2022Lini? Hahahaha
He!!!!! Aisee wewe bonge la mshamba what is Nyumba!??watu wanakufa wanaacha viwanda wewe unaongelea nyumba!!Kifo hakifai kabisa kaacha bonge la jumba. Huyu ndio alishinda tenda ya kutengeneza na kuandaa majukwaa kipindi cha Hayati JPM.
You are right.Wangemkimbiza Muhimbili. Aga Khan is overrated.
Emergency room ya Aga Khan wamejaa watoto wanafanya residence, bado wako shule! Na si kwamba kuna supervisor mbobezi anawaangalia hapana, hao vijana ndio wame take over hapo reception desk ndio wanakupokea na kuku handle mwanzo mwisho na Viingereza vya Mama Suluhu, usipokufa ndio utamwona daktari wa ukweli anapita saa nne usiku...
Halafu kila daktari kijana anaepita pita ukimhoji kuhusu hali ya mgonjwa na response ya matibabu anakwambia maamuzi ya kubadili dawa /approach ni mpaka daktari wako apite kesho asubuhi! Sasa wewe umejipitisha kufanya nini?
Nimemjua kwa kumuona na kumsikia Sana clouds...daah kaondoka ghaflaAlikuaga boss serengeti nadhani kipindi cha jk...!alikua anasikika sana clouds