Ted Cruz ashinda Kura za Maoni Iowa

mxyo16

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
1,243
758
REPUBLICAN CAUCUS
Delegates: 30


Candidate
Votes
cruz-9a750e188a6675936e29bb19b56cb1bc38a2cb45.png
Ted Cruz ✓ 51,047
trump-6b07ff13d5de00f29cd83c063a17d32d55fef95e.png
Donald Trump 44,837
rubio-697fd2945a4241dd37f2af93e7a5cf7da45b6543.png
Marco Rubio 42,577
carson-eb419cf051b2a0e3340bde5f3f12cda8cc1cd7a4.png
Ben Carson 17,173
paul-e208d3add3d5337d93e833add0ffd767190cf743.png
Rand Paul 8,361
bush-c85c837925ce32ccf8bca1e102b86278efed0796.png
Jeb Bush 5,165
fiorina-5ebbd527d1d5cf2b9d97436e09076e58a924202e.png
Carly Fiorina 3,442
kasich-5ed1d0bfdd772c05d2f5d0a3d8b7feabbae2064f.png
John Kasich 3,441
huckabee-b0737786c646d874915b7d40ebb89acd5737154e.png
Mike Huckabee 3,305
christie-eb0c0cdb34413a947245330c44f7f036227c94a6.png
Chris Christie 3,247
santorum-8ad9eaafcd55af89855d6f2fd686a0c6cc9f769a.png
Rick Santorum 1,768
 
Hapa bora Tramp kapigwa chini. Namuombea Bi Hillary ashinde ingawaje mchuano mkali sana
 
Ingawa trump nimropokaji huyo Ted na Rubio na wenyewe ni vichaa kweli.......wanamisimamo hasa. Huyo Ted ni conservative hasa aisee....labda kuzaliwa kwake Canada kumharibie ila ana uwezo mkubwa kuiieleza ki conservative.....nahisi akisimama na Clinton anaweza kushinda, though swala la upingaji ushoga la Ted laweza kuwa kikwazo cha ushindi wake.....
 
Trump is an American Hitler..!! He is just like a cancer..carcinoma kabisa!!
 
Trump is an American Hitler..!! He is just like a cancer..carcinoma kabisa!!

Donald Trump is a true American , patriotic and determined to protect the values on which USA rests upon. You can not have a country that is a like a no mans land , with free entry and exit. The act of European countries of welcoming all the types of people has now proved to be suicidal. In French no peace, in Belgian no peace just to mention a few. Humanity must have limits!
 
Conservatives finally made up their collective minds,but Iowa is well known for voting for ultraconservative candidates with strong religious views. Trump is more likely to win the states with moderate religious views. So in the end it might be Trump against Sanders the underdog.
 
I bet for Ted Cruz. Kizuri zaidi anapinga sana suala la ushoga na ameweka wazi kuwa nchi yoyote isilazimishwe au kushinikiza kuruhusu ndoa za jinsia moja, kwani zinatakiwa ziachiwe zenyewe kuamua jambo hilo.

Halafu kuna jambo najiuliza sana, wagombea wengi wa Urais wa Marekani au WENGI wao waliopita wana watoto wa kike zaidi. Nilikuwa namuangalia Ted naye ana vibinti viwili Caroline na Catherine.
 
Trump anayo madume ya mbegu pia.Bush mkubwa yaani George Herbert Bush alikuwa na madume mengi pia,ila marais waliomfuatia wote walikuwa mabinti watupu.
I bet for Ted Cruz. Kizuri zaidi anapinga sana suala la ushoga na ameweka wazi kuwa nchi yoyote isilazimishwe au kushinikiza kuruhusu ndoa za jinsia moja, kwani zinatakiwa ziachiwe zenyewe kuamua jambo hilo.

Halafu kuna jambo najiuliza sana, wagombea wengi wa Urais wa Marekani au WENGI wao waliopita wana watoto wa kike zaidi. Nilikuwa namuangalia Ted naye ana vibinti viwili Caroline na Catherine.
 
Donald Trump is a true American , patriotic and determined to protect the values on which USA rests upon. You can not have a country that is a like a no mans land , with free entry and exit. The a za kibaguzi na kichochezuct of European countries of welcoming all the types of people has now proved to be suicidal. In French no peace, in Belgian no peace just to mention a few. Humanity must have limits!
Huwezi kumsifu mtu eti ni "true American" kwa kuwa na sera za kibaguzi na kichochezi..trump hafai kuwa kiongozi wa USA cuz anajionesha ana hamu ya kumwaga damu na ni mtumiaji mzuri wa nguvu kukandamiza wanyonge yote haya hayatapunguza majanga ya vita na mauaji duniani bali hali itakuwa mbaya zaidi...I want peace around the world thats y I dont wanna see him there..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom